Mzee Mtambuzi in MWANZA...!

na matobolwa matamu ni yale ambayo viazi vyake havina unga unga..yaan ayo ndo yana utamu mpaka bas

Nakumbuka nikiwa Utete, tulikuwa na nyumba yetu ya tembe pale...basi paa la nyasi ndio tulikuwa twalitumia kuanika matobolwa....
 
ila michembe ni ile ambayo viazi vyake havikupikwa ila vimekausha tu baada ya kukatwakatwa..matobolwa ni yanayopikwa kabla ya kukatwakatwa na kisha kuanikwa
Mornie daddy... alaa kumbe. Sie huku usukumani tunayaita "Michembe" Dah ni mitamu niaje...!!!
 
HA HA HA hongera broda hope utafanya arrangments jumamosi tutameet woote
 
kwani atakumbuka kukuletea fish si watamsahaulisha watoto wa huko angalie asijesema ni wakarimu kumbe wanamchota tu, ajihadhari na wa tu wa huko nwengi wao ni matapeli mm nawafahamu kwani natokea hukohuko, halafu ndugu yangu wewe si ulimsema sana kule kwenye thread ile ya "wagombanao ndio wapatanao" atasahau kweli akuletee fishi? sijui
niletee fish
 
halafu mtafute Heaven of Desert mwambie hivi je ameshaoa au bado? maana alitangaza NIA kule kwenye chumba maalum sasa ameshapata tunataka mm na mume wangu tuwe bridegroom wake
 
Last edited by a moderator:
Ukirudi nipitie hapa Iringa, Tena sijui kama Kuna wana JF hapa Iringa, maana nipo kwa muda.Usisahau Sato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…