Mzee Mtambuzi in MWANZA...!

Karibu sana Mwanza kaka mkubwa...bill zote hapo hotelini familia ya watu8 itaziclear....tuna ubia na jamaa wa JB
 

Naona umegeuka vasco da gama, kila la heri, wasalimie warembo na vibabu vingine huko mwanza Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana Mzee Mtambuzi...
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana Mzee Mtambuzi...
 
Last edited by a moderator:
Duuu!yani Km Nakuona Na Mabodyguard Wa Kike Wa JF Wamekuzunguka Kila Upande!chezea Wadada Na Wamama Wa JF weye,full kumlindia mama ngina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…