Mkuu naona unameanza style ya Mkulu! Juzi Selou, leo Mwz! Haya bana. Ukifanikiwa kupita Lamadi usiache kuwasalimu watoto wa Erickb52 na Mr Rocky pale Mkula. Umuulize Elizabeth Dominick yaliyomsibu Erickb52 pale Gold Crest!
Yawezekana aliweka ya kimyakimya through pm!
ndio nshatia adabu yangu .inabidi nikuambie tu shika moo yako .vipi talaka nijelini kuchukua au utanletea zanaki?Mhm mbona zamani hukunisalimia kwakuwa ulikuwa unaona tunalingana kwakuwa unanimiliki uwanjani??anyway "MARIHABAA"
Nitaleta kwa dhl keep waiting lakini kuileta mwenyewe naona inahusu.zanakindio nshatia adabu yangu .inabidi nikuambie tu shika moo yako .vipi talaka nijelini kuchukua au utanletea zanaki?

niletee fish