Lakini lazima utasafiri na hilo pipa mkuu tukutane safari ya uzinduzi kwenda Mwanza na Kilimanjaro
Ameamua kwenda na bitiMzee Mengi na Shekhe wetu wa Mkoa wa Dar wakijinafasi ndani ya ,,dreamliner" yetu!
Mwezi huu wa nane litapiga trip za hapa nyumbani huko nje mpaka mwezi wa 9 wakipata ruti si unajua sisi sio wanachama wa chama cha wasafirishaji wa ndege kimataifa hivyo lazima tutumie mgongo wa mtu. Lile dude kibongo bongo itakuwa ni hasara sana kwani linatakiwa likae hewani angalau kwa uchache masaa 5 kabla ya kutua sasa safari zetu za ndani likikaa sana hewani ni masaa mawili limetua na wakati huo huo hatuna uhakika wa abiria. Hii ruka tua ruka tua ya safari fupi italichosha mapema sana dude kubwa lile.Sidhani kama dreamliner ni ya hapa hapa hiyo ni masafa, isitoshe mimi muoga sana wa kupanda ndege napanda ikibidi tu hasa safari za nje ya TZ yetu lkn za ndani mimi ni gari tu!
Mwezi huu wa nane litapiga trip za hapa nyumbani huko nje mpaka mwezi wa 9 wakipata ruti si unajua sisi sio wanachama wa chama cha wasafirishaji wa ndege kimataifa hivyo lazima tutumie mgongo wa mtu. Lile dude kibongo bongo itakuwa ni hasara sana kwani linatakiwa likae hewani angalau kwa uchache masaa 5 kabla ya kutua sasa safari zetu za ndani likikaa sana hewani ni masaa mawili limetua na wakati huo huo hatuna uhakika wa abiria. Hii ruka tua ruka tua ya safari fupi italichosha mapema sana dude kubwa lile.
Wameshasema litakwenda Mwanza, Kilimanjaro na Mbeya ndio maana maRC wa mikoa hiyo walikuwepo ila Gambo alikuja kwaajili ya nafikiri Kilimanjaro kwani lile dude haliwezi kutua ARSidhani kama dreamliner itaruka hapa Bongo kwani tunazo ndogo tayari bombardier, hiyo ni ya masafa nafikiri tayari wanatayarisha kwenda Mumbai!
Kafunuliwa na Mungu, si rahisi wale muabuduo shetani kulitambua hiloMzeee anajua kula na kipofu
Mchaga huyu simwezi.Tangu ameoa huko ameama KLM yuko na watani wake.Mzee anajua kula na kipofu na wazee huku KLM wamemtanguliza frontline juu wakishtuka wachaga wamefika Kenya .kwa sasa hakuna mwenye madaraka wao wanacheza kichinichini kwa strategy tofauti CHEZA NA WACHAGGA WEWE Mtalizwa soon.
Yaani kumbe hao jamaa wanataka kutuliza? Ha ha ha watapata tabu sana....CHEZA NA WACHAGGA WEWE Mtalizwa soon.
umriMengi kawa Muoga sana,nikikumbuka kipindi cha Mkapa na JK alikuwa ana jeuri sana.
Kuna umri inabidi tu uwe mpole ubakie tu unasubiri mwisho wako utakuwa vipi,haijalishi una hela au huna..Mzee Kawa Mpole Siku izi
Eti wanaizinduaSasa wamekaa wanaenda wapi ila watanzania kwa ushamba hatuna mfano.
Sheikh wa mange kimambi
Kwani. Mengi alikua ana battle na serikali?hakuna kitu kizuri kama kuepuka battle na serikali kama na hainaulazma wala manufaa, haijailish upo sahihi au laaa. Mtu aliye salama zaid n yule asiye na ushirika wala ugomv na serikali