sisi kwa sisi
Senior Member
- Feb 1, 2012
- 119
- 2
Anadhihirisha kushindwa kwake kama mzazi
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani. Amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.
Nadhani Habari leo ndio limeandika. My take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka
Anaogopa 'Ukafiri' huyo!
Ustaadhi, swala la Ndanda limeishia wapi? Mbona wale watoto walikaidi matakwa ya wazazi wao na wewe ukaendelea kuwaunga mkono, kwanini ustoe ushauri kama huu?moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.
amedai mwanawe huyo hana uwezo wa kuongoza kwa hivyo asipewe kura kwani hana imani naye.
Nadhani Habari leo ndio limeandika.
my take nadhani Mtoto achane na siasa, maana hata radhi zinaweza kumtoka
moja ya gazeti hapa nchini limedai Baba Mzazi wa mgombea wa Chadema jimbo la uzini amemkana mwanawe hadharani.