Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

shemejiiiiiiiiiii!
hongera sana kwa MKUU WA SHULE YA PHILLIP MANGULA!
hiv hii shule ni ya serikali au binafsi?
NAULIZA TU!

Ni ya serikali sasa huyo dada walipokuwa mapenzi yao yamenoga akapelekwa kuwa mkuu katika shule yenye jina lake. Si unajua shule nyingi za kata zimepewa majina ya viongozi wa CCM? Baada ya ndoa itabidi wife naye ahamie Dar ambako ndiko kwenye ulaji wa mumewe
 
chezea pesa weye!!! hata probation mzee wa watu hajamaliza tayari kashatakata na harusi hiyooo...kwa namna hii utawasurubu mafisadi ndani ya chama kweli?
 
Wanaziba mapengo mapema,kwa kuogopa tuhuma za vyama vya siasi kwenye uchaguzi mkuu ujao 2015,hongera mzee
 
Hongera mzee Mangula, hakika uzeeni mtu anahitaji wa kuliwazana naye. Mkewe alikufa miaka 2004 tuseme 8-9 years ago!! Hakika aliweza kuishi ukristu bila kuzini?????????????????????????????Basi atakuwa mtakatifu Phillip. Ila ni vema kama wamehalalisha au kapata kipya kinyemi!! Na bibi harusi mtarajiwa naye ni mjane au ni wale wamekula chumvi nyingi na waume za watu/wazee bila kuolewa? Just curious to know!! Je mwanamke ana familia i.e watoto wake? Maana mzee huyu kuzaa tena hapana jamani!! Tupeni data!!
 
Wataalamu wanasema likelihood ya mwaname kufa mapema baada ya mkewe kufariki ni kubwa.
So kwa kupatajiko jipya angalau anaweza sogeza umri
Hongera and long live Mr & Mrs Mangula
 
Kampani na kufanya ngono halali kumepelekea kuamua kufunga ndoa kabisa. Ni vema na ni haki ya kila mwanadamu aliyekamilika. Hongera mzee wa analogy kwa kupata jiko ila linabidi liwe la analogy pia ili mawasiliano yakubaliane.
 
Samahani Candid Scope wewe ni Me au ke?
 
Samahani Candid Scope wewe ni Me au ke?
 
kwa mwanamkekuolewa na wata kama hawa ni kuupa kisogo umasikini! 2015 lazima atakuwemo kwenye orodha ya 'waheshimiwa wa kuteuliwa!
 
bado babu mzinifu naye achukue 'jiko'
mambo si raha au silaha
 
tumuache mzee wa watu, tunda lile halina mbadala, wacha ajilie vyake

LABDA TUNAANDALIWA FIRST LADY

kwi kwi kwi kwi kwi
 
Alafu alikuwa anamcheka Dr.slaa
Best man wasirra
Mc.nape nnauye

kama hauna kadi ya ccm hautaruhusiwa kuingia
 

duh!
mpaka ukuu wa shule nao ni kwa mwendo wa dedication
AHAHAHAHAHAHHAHA af oh TUUUNDE TUME ya kuchunguza matokeo mabaya ya 2012
na mijitu inazunguka kabisa mikoani kutafuta sababu!
KUDDADDADADDADADADDADADEKI ZAO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…