Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa


Mangula alisemaje??
 
Mzee alionekana kuwa na jakamoyo.
 
Leo Mangula kaongea kwa Code nzito sana watu tunaojua saikolojia tumeelewa

Ujumbe wa Mangula ulikua mubashara sana na wenye kumuelewa chamani mmeelewa

Leo nimeprove yangu ya moyoni

Tunaolewa tumemuelewa Mangula na nimeprove yale ya nyuma huko CCM

Kiukweli maneno ya Mangula yamenigusa yamaanisha ujumbe mzito sana kwa taifa
 
Ilani ipo je kuna political will?maana ht JK alikua na Ilani...
 

Huyo mzee tangu achungulie kifo kwa kuwekewa sumu mtazamo wake wa maisha umebadilika kabisa, saizi anatema busara tu.
 
Huyo mzee tangu achungulie kifo kwa kuwekewa sumu mtazamo wake wa maisha umebadilika kabisa, saizi anatema busara tu.
Angeacha msiba upiteee sijui kama Magu angekuwepo angeongea vilee...!!! Mwenzie Jk amekataa kabisaa kuwa hawana ugomvi lakini Mangula duu hata aibu hana kapasua yani

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Acheni ujinga mambo makubwa yapi!! yakujenga Uwanja wa ndege?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huku siyo uwanja wako.... Twende kuleee......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…