Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

kuna hekaya za ALi Nacha nyingi sana ktk huu uzi.. lakini mimi binafsi kumbukizi bora kabisa ni Mangula na kalamu yake ya Sh mia 3 pale Dodoma vikao vya uteuzi 2015.
 
Codes zipi anaongea kwa woga na kuashiria wasiwasi wa kufanikiwa kwa miradi aliyoanzisha Magu.
 
Mbona mapambio...! Sentensi zote ameongea ameongea ...code code... Dooh
 
Labda ungeelezea na hatua alizowachukulia hao waliompa cha panya mzee mangula
 
Alisema nini wewe acha kuzunguka zunguka! Watu tulikuwa hatuna muda wa kupoteza kuangalia TV
 
huyu mzee ameiva kwenye siasa na utumishi. hawa kina Mwigulu, Kigwangala sijui waliwaokotea wapi
 
Mangula anataka aaminishe watu kuwa Ilani itekelezaji wake Haiitaji mtu anaejielewa bali maandishi tu ambapo sio kwelii...!!

Miaka mingapi hiyo Ilani ilikuwepo hayajawahi kufanywa mambo makubwa kama aliyofanya Magufuli? Mzee kimsingi anataka kuonesha Magu hakufanya lolote jipyaa yani of which ni Uongoo na chuki tu. Shame shame..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
JPM alikuwa mtekelezaji
Alikuwa anapenda kuona
Matokeo

Ova
 
Mzee katuwa Zigo la misumari, halafu nimemuona msibani yule andunje waliesema ndio alimuwekea sumu.

Kale kajamaa kenye kibiongo hata mie nilikaona.

Halafu kalikuja kutoa heshima za mwisho na kutia mchanga kaburini kwa Mzee eti akiwa kama member wa familia ya Magu.

Yaani kalivyo tu kama kinyamkera lazima uamini kuwa ni kachawi na kashirikina.
 
Uzuri ni kwamba hata wauaji nao wanakufa
 
Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku

Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chama
Wewe umenielewa vzr sana, ndiyo maana nimesema mwanachama ni yeye peke yake wengine ni watu kibao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna quote moja ya Jasusi inasema hivi” unlike stomach, brain does not warn you when it is empty”
 
Kale kajamaa kenye kibiongo hata mie nilikaona.

Halafu kalikuja kutoa heshima za mwisho na kutia mchanga kaburini kwa Mzee eti akiwa kama member wa familia ya Magu.

Yaani kalivyo tu kama kinyamkera lazima uamini kuwa ni kachawi na kashirikina.
Yule andunje anaitwa Mr. Magoti.
 
Eeeenh, shule hizi?

Haya nawe tumekuelewa sana.

"ma'Saikologia" ndio mpo hivi?
 
Kusema lile la ukweli ,kwa kufikiria mustakabali wa nchi yetu baada ya huu msiba mzito, Mzee Mangula ndiye hasa aliyeongea yale ambayo yalikuwa yanawasha makoo ya watanzania wengi.Wazungumzaji wengi walikuwa ni waombolezaji tu ambalo vilevile siyo jambo baya kwa sababu ndiyo shughuli yenyewe hasa iliyowapeleka lakini mzee Mangula aliisafisha barabara kwani wengi waliamini kazi zote zilizofanyika na zinazoendelea ni mawazo na nguvu ya mtu mmoja tu.
Huyu mzee bado ni hazina kubwa.Bado ana nguvu na kauli zilizonyooka. Nguvu ya chama bado ipo.Tunamhitaji sana azidi kuwa ndani ya chama katika kipindi hiki kipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…