kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,126
- 24,424
Leo Mangula kaongea kwa Code nzito sana watu tunaojua saikolojia tumeelewa
Ujumbe wa Mangula ulikua mubashara sana na wenye kumuelewa chamani mmeelewa
Leo nimeprove yangu ya moyoni
Tunaolewa tumemuelewa Mangula na nimeprove yale ya nyuma huko CCM
Kiukweli maneno ya Mangula yamenigusa yamaanisha ujumbe mzito sana kwa taifa
Mpongezeni Mangula kwa kuwa na moyo safi na moyo wa busara na uvumilivu amejitahidi sana
Ameongea kwa code na aidha tafsida ubarikiwe Mangula una moyo safi na bado ukahudhuria msiba huu mzito ubarikiwe
Maneno ya Mangula pia mengine yanatia moyo kwamba ilani itatekelezwa vizuri sana zaidi nimependa kaongea kwa code