Mzee Mandela hakuwa anaamini ile dhana inayosema kuchapiwa ni siri ya ndani?


Mimi sikusema kuwa Mandela hakuwa maarufu, anao umaarufu wake lakini si maarufu namba moja duniani, kumbuka hilo.

Mchonga pua hakuna asiyemjuwa duniani. Mpaka leo anashika chati.

Source:Most Famous Person 2013 Awards
 
FaizaFoxy wazungu kamwe hawawezi kumwandika Mandela kuwa ndiye binadamu maarufu duniani na hata muandishi hajasema kuwa Mandela ndiye binadamu maarufu duniani bali amesema Mandela ni mtu anayeaminika kuwa, ndiye binadamu maarufu kuliko yeyote katika watu wote walioishi karne hizi za 20 na 21. lakini pia msije mkadhani kwamba wazungu walikuwa wanampenda Mandela bali ni wanafiki tu......
 

Katika gazeti la mwananchi la tar.8/12 ukisoma ile habari ya MANDELA NA FAMILIA,imeandikwa kuwa mke wa kwanza aliachana na Mandela kwa kuwa yeye(mke) alikuwa ni "SHAHIDI WA YEHOVA",na kwamba mashahidi wa Yehova hawaoani na wanasiasa...vipi, tuamini kauli yako mkuu?
 
Ndugu yangu Mystery swala la Winnie Mandela kuachika halikuwa ni uzinzi pekee ingawa hii inaweza ikawa ndiyo sababu kubwa, lakini pia zilikuwepo sababu nyingi zikiwemo tuhuma za mauaji yaliyokuw ayakiendeshwa na timu yake ya Mandela Footbal Club zilizoibuliwa katika tume ya Maridhiano iliyoundwa na Mandela mwenyewe, hata hivyo tuhuma hizi mandela alikuwa anazifahamu kabla ya kutoka gerezani lakini hata baada ya kutoka gerezani na kukomeshwa kwa siasa za ubaguzi na Mzee Mandela kushinda nafasi ya Uraisi lakini bado Winnie alikuwa anaishi maisha ambayo yalikuwa yanamdhalilisha Mzee Mandela .....................

Rejea uzi nwangu huu hapa chini kuhusu tuhuma hizo:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...mandela-na-tuhuma-za-mauaji-ya-kutisha-3.html
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa. Aliwafunza adabu kwa kuto ku give up japonwalimfunga 27 years akatoka na akawa rais wa kwanza mweusi na kuwaashibu kisaikolojia zaidi akawasamehe na wengine akawapa nafasi katika serikali yake.
 

Winnie Mandela alikuwa mke kicheche. Inasemekana kuna wakati alikuwa 'caught with her pants down' akimegwa. Ni mwanaume gani anayejielewa ambaye angeweza kuvumilia ukicheche wa namna hiyo?

Okay, wakati Nelson akiwa lupango, kwa shingo upande, mtu unaweza kuelewa na labda hata kumsamehe mwanamke kama huyo. Lakini hata baada ya kutoka jela mwanamama bado tu akawa anaendelea kumegwa na nje na lawyer wake.

Nijuavyo mimi hakuna mwanaume wa maana awezaye kuvumilia dharau na udhalilishwaji wa namna hiyo.

Hebu ona hiki kipande cha makala kilichoandikwa kwenye gazeti la The Independent, la Uingereza.


Sasa hebu ona huo upuuzi wake. Ni nani mwenye akili timamu anayeweza kuvumilia uchafu kama huo? Pengine wapo wanaoweza, lakini Nelson hakuweza. Hata ingekuwa mimi nisingeweza. Tena naona Nelson ni mvumilivu sana. Ingekuwa mimi ningekuwa nishampiga chini zamani mno.


Hiyo ni falsafa ya kijinga kabisa. Mwanaume mzima na gonads zako uvumilie ujinga kama huo kisa unaogopa kuwapa faida walimwengu? Hapana aisee. Na potelea mbali kama walimwengu watafaidika au la, mimi nakumwaga at the initial suspicion.
 

Kumbuka kuwa umaarufu alionao Mandela umejengwa na hao hao wazungu kwa maslahi yao.

Kuna watu hawajawahi kumsikia kabisa, lakini waulize Michael Jackson, hata Watindiga wanamjuwa.

Unajuwa kuwa kuna watu Tanzania hii hata Kiswahili hawakijui lakini Michael Jackson wanamjuwa?
 
neno kuchapiwa siri ya ndani

soma andika yasisikukute mkuu ina mwenyewe hili
 
sababu ya winnie kupigwa talaka 3 ni kwamba alikua anamnyima unyumba mzee mandela baaada ya kutoka gerezani,kila akiombwa kutimiza haki hiyo ya msingi ya ndoa alikua haishi kutoa udhuru,mzee akaona ya kazi gani
 
Haha!
Hivi ile ya Mugabe kuchapiwa na Waziri wake, Imeishia wapi?
Mugabe ubabe wake unaishia kwa mahasimu wake wa kisiasa akina Tsangirai,lakini kwa huyo mkewe,former PS wake,hathubutu kumpa talaka,hata akimkuta red handed, anachapwa,kwa kuwa huyo mzee "amezimia" kwa huyo former PS wake,kiasi ambacho hakohoi wala hafurukuti!!
 
falsafa haiwezi kutumika ikiwa kila mtu anafahamu na dharau inaonyeshwa...
 
Hiyo ni ngumu aiseee wala haiwezekani.
Itabidi mods mumtafute huyo jamaa, kwa namba ya simu aliyoweka kwenye post yake, ili awalipe fee ya advertisement, kwa kuwa kama shamba lake, keshaliuza kwa shilingi milioni 5 kwa bei aliyoitangaza humu jamvini, basi angalau nyiye mods mlambe 10 percent ambayo ni laki 5.

Kwa kuwa humu JF, wanaotangaza biashara zao, kama vile akina voda bombastic, najua wanawalipa fee ya matangazo.
 
Hata Mungu yoote anasamehe ila inapotokea umechapiwa anaruhusu utoe talaka.......

..., Maandiko yap yanayokuruhusu ww kutoa talaka? Coz hata Mzee Mandela hapo amepotoka kwa kufuata zaid hisia zake badala ya kutumia Maandko/sheria zlzomfanya amuoe huyo Mtalaka wake!
 
Mimi sikusema kuwa Mandela hakuwa maarufu, anao umaarufu wake lakini si maarufu namba moja duniani, kumbuka hilo.

Mchonga pua hakuna asiyemjuwa duniani. Mpaka leo anashika chati.

Source:Most Famous Person 2013 Awards

wewe dada ni fulu komedi, wanguzu wakikuambia ww ni mwanaume unakubali.....! lol, kwa akili zako unaamini mtu kama Helle Berry au Tiger Woods, ni maariufu kuliko mandela?
 

Mkuu name mie nilisoma maandishi mbali mbali, binti wa kwanza wa Madiba indie alive sema...mama game aliumia sana kuachwa name Mandela! hutaki?
 
wewe dada ni fulu komedi, wanguzu wakikuambia ww ni mwanaume unakubali.....! lol, kwa akili zako unaamini mtu kama Helle Berry au Tiger Woods, ni maariufu kuliko mandela?

Kuna watu hawamjui Mandela usione wewe unatazama TV unamjuwa kuna watu hawajui TV ni nini.

Hata useme nini, mimi naamini Michael Jackson anajulikana zaidi ya Mandela. Wengi wamemjuwa Mandela baada ya kutoka jela na si kabla, Michael Jakson ni maarufu kwa kui entertain dunia. Mziki hauna rangi hauna siasa hauna kabila hauna lugha.

Kuna watu duniani siasa hawana habari nayo kabisa, lakini nani asiye na habari na mziki? hata kama hapendi atausikia tu japo kwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…