Mzee Mandela hakuwa anaamini ile dhana inayosema kuchapiwa ni siri ya ndani?

sawa ila pia inategemea na kundi la kaliba yake? je ni wangapi waliofanyiwa hivyo na kufanya kama alivyofanya....we should not generalize.... hayo pia yalikua ni mawazo ya watu kama wewe
 
una uhakika gani kuwa hakumsamehe?
Sasa kitu gani kilichomfanya ampe talaka Winnie, na amuoe mjane wa Samora Matchel, Graca Matchel, kama kweli angekuwa amemsamehe Winnie, kwa "kosa" lake la kuchapwa nje ya ndoa?!
 
Mkuu rekebisha hili. Mandela hakutoa siri bali barua ya winnie iliyonaswa na wanahabari ndiyo iliyoutangazia umma. Pili, alimsamehe ndio maana alimruhusu atumie jina lake na kumsaidia kwenye kesi yake ya kuua wasaliti weusi. Bila Madiba angeoga 'mvua' ya maana. Tatu, nadhani Madiba alielewa kuwa miaka yote hiyo ya gerezani mkewe wakati huo bado mbichi (mtalaka Winnie) naye kaumbwa kwa nyama - uvumulivu ulimshinda! Nne, Madiba naye alikuwa mwingi wa habari alikuwa anachapa sana nje kabla ya jela, na walikuwa na mgogoro kuhusu hilo.

Tano, naomba kusahihisha kuwa yeye ni mtu maarufu kuliko wote duniani kwa karne za 20 na 21. Labda useme ni 'miongoni'. Kwa maoni yangu kulikuwa na watu maarufu pia karne hizo kama Hittler, sadam hussein, mama theresa, michael jackson, bob marley, che guevara, martini luther, indira gandhi, papa john paul wa pili n.k.
 
Back
Top Bottom