Mzee Makamba kuna pumzi ya mwisho. Zingatia maisha baada ya Dunia

shida mnashindwa kuelewa alichomaanisha ni kwamba viongozi wazuri hawafi( maana yake mema au mazuri ya viongozi yataendelea kuwepo hata wakifa ) ni sawa na kusema wema hauozi
Na mifano kabisa alitoa kuwa wakina kikwete na kinana ni wema ndio maana bado wapo Hai so ww hiyo tafsiri yako kuwa mema ndio yataendelea kuwepo sijui umetoa wapi
 
shida mnashindwa kuelewa alichomaanisha ni kwamba viongozi wazuri hawafi( maana yake mema au mazuri ya viongozi yataendelea kuwepo hata wakifa ) ni sawa na kusema wema hauozi
Kwa hiyo ww ndo unakijua kiswahili kuliko sisi acha ujuaji usio na maana
 
Back
Top Bottom