Mzee magoma kaonekana MWANZA YANGA tujipange

Mzee magoma kaonekana MWANZA YANGA tujipange

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,069
Reaction score
38,438
Habari zenye uhakika
Mzee mamluki WA YANGA
Mzee magoma ameonekana maeneo ya MWANZA Toka jana

Akirindima maeneo karibu na SEHEMU mechi inapoenda kyfanyika

Wanakamati WA YANGA msiliachie kirahisi hili tusijeadhibiwa ama yakatukuta ya Azam na Simba

Alldbest
 
Huyo andazi tu hana lolote kesho yanga inapata matokeo. Hv ile kurjuan tv yake iliishia wapi
 
Kule South tulithibitisha Africa kuwa hatuwezekani kwa ushirikina.
Pangani uchawi SC maquma nyie na uchawi wenu..mwaka huu hampati kitu hata ubingwa mtakaouchukua utakua wa hirizi la kichawi la kutoka pangani
 
Back
Top Bottom