Kapumzika, mtoto wake yuko ulingoni anasongesha gurudumu. Mara ya mwishomwisho kumsikia, alikua mgonjwa na alikuwa anawakilishwa na mwanae kwenye matukio ambayo alikuwa anatakiwa kuwepo, mfano kwenye tuzo moja iliyotolewa sijui nchi gani huko, mwanae akaipokea kwa niaba.