Mzee Kinana: Viongozi wa Chadema wakatuambia " Mnaonekana Hamjitambui"

Nimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno

Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!

Ngoja niishie hapo dadeki
Wala hawaja kosea. Hivi miaka 63 madarakani, bado wana pita kuulizia kero? Wame fanya nini sasa? Hata sisi Watanzania hatuji tambui. Hatukustahili kuendea kuwapa Ccm kura. Sisi ni wajinga kuliko hao Ccm
 
Nimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno

Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!

Ngoja niishie hapo dadeki
Wewe unaona katika hao viongozi wako kuna anayejitambua? Wao wanachowaza jinsi watakavyoiba kura ili waendelee kutawala. Washenzi sana
 
CCM hakuna anaye jitambua,ndio maana hata tafiti zilionesha wapenzi wa chama Cha mboga mboga ni wapumbavu.
.
IMG-20191109-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom