Mzee kanililia eti mimi mwanae(Kanifananisha).

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,054
Bila salamu direct to the point..Leo mida ya mchana nikiwa Town napiga misele nikiwa na chali'angu flani ivi,Mala ghafla kaja mzee wa ki'maasai yuko race kanikumbatia khaa.!!Tukashangaa uyu mzee vipi tena?akaanza kunizungumzisha pale uku akiwa na furaha kinyama.
MZEE:"Mwanangu Daud Kweli milima haikutani ila binadamu hukutana,Yaani ulipomaliza tu darasa la 7 ukatoroka nyumbani bila taarifa tulitafuta hadi tukachoka"
Tukiwa bado tunamshangaa yule Mshua si akaagiza kreti la bia pamoja na Nyama choma tunywe na kula pale,,Ikabidi nimwambie
MIMI:"Mzee ebu ngoja kwanza,!Umenifananisha me sio mwanao bhana,,Na yule chali'angu akamwelewesha lakini Mshua hakuelewa akasema.
MZEE:"Daud mwanangu wewe ni wa kunikataa mimi Baba'ako kweli?Ebu tunywe bia kwanza ndo tutaongea vizuri Sawa Baba eeh?",,Yule chali'angu akaninong'oneza kuwa nikubali tu tupige maji alaf tumlime coz anatuletea perepete na njaro zaki'whack apa duas,,Bas tukakaa pale nikamuuliza.
MIMI:"Sawa mzee ivi bado unakumbuka jina langu vizuri?"
MZEE:"Yaani Daud me nisikukumbuke kweli?"
MIMI:"Naam hahaha ndo mimi hujakosea"
MZEE:"Sasa jee!Ngoja niwapigie simu kabisa nyumbani miwajulishe alaf wachinje na mbuzi kabisa,Mama ako atafurahi sana leo".Bas tumepiga mitungi pale yule mzee kaita na wazee wenzake tusherehekee pamoja,baada ya muda kidogo yule mzee kazima kama taa akauchapa(akasinzia) palepale,vile vizee vingine viliposhiba pombe ndo vikatuuliza sisi.
MLEVI M1:"Mwanae na uyu mzee Olesendeka ndo yupi kati yenu?"
CHALI'ANGU:"Huyu apa"(akinisonta mimi).
MLEVI M1 na WA PILI:"Hmm uyu mzee kashachizi uyu!!Daud wake kashamsahau hadi ukufananishe wewe?Kwanza Daud ana umri mkubwa zaidi yako ana miaka 24 au 26 sasa wewe unaonekana ata 23 hujafika,ila sawa tu nasisi tumepitiamo nilikua na mwezi sasa sijanywa bia pia sijawahi kula nyama tamu kama hii tangia nianze kula nyama"(waliongea wale wazee)Bas sisi tulipomaliza kupiga mitungi na Nyama choma tukapita ivi.
@ChaliiYaKijengeJuu.
 
vya mtu haviendi bure utavilipa na kuwa kuwa makini sana itakutokea puani na mkalioni
 
Back
Top Bottom