johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,165
- 142,272
Tunakumbushana tu kwamba mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema na mwaka 2015 alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa JMT.
Hivyo mzee Duni ana mapenzi mema na Chadema pamoja na mwenyekiti Freeman Mbowe na ndio sababu mara kwa mara huenda gerezani kumsalimia.
Lakini makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu hajawahi kupanda ndege kuja kumuona Freeman Mbowe.
Zanzibar ni nchi kama ilivyo Ubelgiji.
Maendeleo hayana vyama!