William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #21
Samahani mzee wangu mimi siishi US, lakini ninakofanya shughuli zangu za kila kwa taifa siku zote ninauliza na ninajitahidi kufuatilia issues, Posting ya kwanza nchini bongo kudai Mahita ajiuzulu iliandikwa na Mzee Mwanakijiji kule BCS,
Na nilikuwa mtu wa kwanza kuifikisha ile posting kila panapotakiwa, ikabidi Mahita atume watu kuja kuvuruga kule BCS, lakini haikusaidia kitu, kuna suala la IPTL ambalo linahitaji signature 250 za wananchi wanaoishi bongo ili lifufuliwe kisheria, kwa kusaidiwa na jamaa zetu wa Mlimani, tayari rtumeshaanza kukusanya hizo, na zitakapofikia utalisikia hilo, hii mada aliyeinzisha ni mimi, na I was very proud kumuona member wa hii forum akichangia kijasiri yaani Mzee Jasusi,
Hapa hatuna cha kumuomba mtu yoyote msamaha, wala kuoneana aibu ukweli ni kwamba wananchi waliohudhuria ule mkutano hawakuuliza maswali yanayotakiwa, na hayo ni maoni yangu na ninasema hayo kwa sababu kuna sehemu nyingi nimeona mikutano ya rais ambako rais alitolewa jasho, na mojawapo ni Mozambique, Kampala, na Angola,
Hata siku moja sisubiri kuuliziwa, huwa ninauliza mwenyewe, isipokuwa simwagi mtama kwenye kuku wengi, ukweli ni ukweli I am sorry kama kuna wanaochukizwa, hii ni forum tu au Bulogu, sio anything else!
Mzee Mwanakiji, Jasusi, Mtz, na wengineo, bravo kwa kuukubali ukweli, tukubali yaishe na tusonge mbele, kukimbilia personal haitasaidia kitu, yaliyofanyika NY ni aibu, angalau huku Boston kidogo kuna waliojitahidi kwa kuja pale hotelini na kuuliza maswali ya kikweli, na huko Minnesota tunawaomba mfanye kweli sio kurudia yale yale ya NY!
Mzee FD, usiwe na wasi, maana wangejua matusi tunayokula kila siku mitaani haya ni marduio tu, wacha vijana wajifurahishe lakini tutaendelea kukata issues hapa bila kuogopa mtu!