Mzee Jacob Zuma ameongeza kifaa kingine ndani

Mzee Jacob Zuma ameongeza kifaa kingine ndani

Kuna kabila moja huko Northern Rhodesia, huwa wanampa jukumu mtu mmoja kwa ajili ya kazi ya kubikiri...pia hata kulala na wanawake waliofiwa na waume zao. Wanafikiri ni sehemu ya kuondoa mikosi.
Hiyo taarifa BBC I think wamewahi kuripoti.
naweza apply hii vacancy?
 
Hapo ndio akili za baadhi ya watu weusi zilikoishia akipata hela ni kuoa tu sababu watu kama billgate na wengine wengi wako marekani na ulaya uko na wachache wao ni kama dangote
nasema Mungu anajuwa sababu matajiri wakubwa wengi wao ni wazungu
Kila mtu na starehe yake " wazungu wana yao na ss tuna yetu
 
Hapo ndio akili za baadhi ya watu weusi zilikoishia akipata hela ni kuoa tu sababu watu kama billgate na wengine wengi wako marekani na ulaya uko na wachache wao ni kama dangote
nasema Mungu anajuwa sababu matajiri wakubwa wengi wao ni wazungu
Mbona waasia haujawajumuisha? Wazungu wengi kuku matahira na vyakula vya ovyo ndiyo vinawamaliza nguvu. Bila kusahau watu wanaofanya kazi zinazotumia akili sana zinadhoofisha mwili. Bila kusahau pamoja wengi kuwa na mwanamke mmoja lakini bado unasikia wengi kutembea na wanawake tofauti tofauti...
 
Back
Top Bottom