Mzee Jacob Zuma ameongeza kifaa kingine ndani

Mzee Jacob Zuma ameongeza kifaa kingine ndani

Hapo ndio akili za baadhi ya watu weusi zilikoishia akipata hela ni kuoa tu sababu watu kama billgate na wengine wengi wako marekani na ulaya uko na wachache wao ni kama dangote
nasema Mungu anajuwa sababu matajiri wakubwa wengi wao ni wazungu
Trump hakukosea aliposema tunawaza ngono tu
 
Akihitaji wasaidizi mnijuze, majukumu kama haya nitamsaidia maana nadhani kidonda chake cha tohara bado hakijapona vzr kuhudumia wote kwa sasa asijefumua mshono.
 
Back
Top Bottom