Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

ccm kilamtu kawa adui wakuwapigia kula ninani sasa paka wapiga kula wenu mnawatukana ,we mzee kwanza uyo sio sazi yako uyo saizi yake nibaba yako jk mwache akomae nae
 
Huyu Mzee ni Wale wazee wanaoitwa wazee kwa ajili ya umri sio uzee wa hela au busara toka lini seminary ikapewa ruzuku na serikali?Dr amesomeshwa na kanisa mpaka PHd sasa hela ya CCM imetoa wapi hela?
 
Najisikia fahari kuwa mwanafunzi wa Dkt. Charles Kitima na mafundisho yake aliyonipa mwaka wa tatu yalikuwa yameejaa weredi wa kujitambua na kuwa open minded kwenye masuala yanayo gusa jamii. Mzee Farjalah with due respect plz personal attacks kwa Dkt kuhusu yeye kuikosoa serikali kwa mambo ya hovyo huitendei haki jamii pana ya Watanzania ambao tumetupwa na mfumo uliopo. Wajibu wa serikali ni kusomesha watu wake na hiyo haikuzuii kama msomi kutumia elimu yako kuikosoa pale inapofanya madudu (kumbuka ni Dkt aliye weza kuwaambia wanafunzi ukweli kuhusu agizo la serikali la kutowapatia mikopo na kuendeleza undumilakuwili lakini yeye alikaidi agizo la katibu wa wizara na kuweka mambo hadharani ikawa pona ya wanafunzi kupata mikopo). Na kabla hujaanza personal attacks kuhusu chuo cha SAUT tafakari mchango wa chuo hicho katika suala la elimu nchini kama isingekuwa chuo hicho wengine tusinge soma mpaka elimu ya juu. Dkt ni muwazi na yuko very bold kwenye suala la ufisadi na ufujaji wa rasilimali zetu na natamani kama Dkt aliye tengeneza slogans za awamu ya nne nchini angekuwa open minded kunako masuala ya mustakabali wa taifa hili na si kuwa mpiga zeze la watawala hata pale wanapofanya mambo sivyo.
 
kwa hiyo ccm wanasomesha watu ili wawatumie na wasiwakosoe!da hii ccm kweli.
 
Back
Top Bottom