Mzee Duni Haji: Kwa mara ya kwanza ndio nimeshuhudia Mkutano wa Siasa Meza kuu Wamejaa Maaskofu, Mapadre na Wachungaji, CHADEMA ni Wadini!!

Mtu akishaitwa Duni unategemea haya:

Akili duni
Fikra duni
Mtazamo duni
Mawazo duni

Huyo ni Duni hata mtu kumfuatilia mpaka kuleta uzi hapa naye ni duni
Umeshapanic 😂😂🔥
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Source: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki😀
Basi sawa kila mmoja achague kiongozi wa Dini yake
 
Mungu wa Mbinguni awabariki
Huu mkataba kuweka kwenye UDINI ili kupoozesha suala la uuzaji bandari haliwezi kufanikiwa. CCM walilivalia njuga, UDINI, UDINI, mpaka wamenyamaza na sasa wamebadili gia kwa kusema, "Mkataba kama una kasoro urekebishwe tu, siyo msahafu au Biblia". Sasa wewe Duni Haki utaweza?
 
Siyo muda mrefu kutakuwa na vita hapa nchini

BAKWATA vs TEC+ CCT + Warokole
Hivi vita Mungu aviepushe kwani vikipiganwa washindi watakuwa ni TEC+ CCT + Warokole ambao tayari wana jeshi lenye uzoefu wa muda mrefu.Au vyenginevyo kabla havijaanza hilo jeshi livunjwe.
 
Hopeless ni wewe mtumwa wa siasa za wachaga
Hata CUF mliwahi kusema ni chama cha. Waislamu. Hamna hoja inabidi mtumie udini, ila tambueni watanzaniia sio wajinga kama nyie mnaouza nchi kwa kutumia matope vichwani mwenu.
 
Taifa? Hili mnalouza? Mjinga mmoja wewe
Punguza upumbavu wako,Taifa linauzwa bei gani? Machadomo ni majinga sana nyie ndio hamna ajenda mnadakia dakia hata hamueleweki.

Mtaishia hivyo hivyo miaka na miaka Hadi mnakufa
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Chanzo: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki😀
ACT Wazalendo imegeuka CCM B ndo maana wao hawana habari na mkataba tata wa bandari na badala yake wanaanza kuongelea CHADEMA. Ukiona chama kinaongozwa na wachumia tumbo kama kina Zito, Hado Shaibu na wale wa funny la kukosa kina babu Duni.........
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Chanzo: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki
Huyo amezunguka sana, lakini nia yake kubwa na kuleta ujumbe kuwa Rais Mwinyi wa Zanzibar, siyo Mzanzibari bali ni mzaramo.
 
Kwanini bwashee?

Duni ameuliza " Kwanini Mbowe alisema Rais Mzanzibari, Waziri Mzanzibari na Katibu mkuu ni Mzanzibari?!"
Kwani siyo Wazanzibari? Kwani Zanzibar siyo nchi? Unalinganisha kabila na nchi?

Yaani kwake huyu Duni mtu akisema ni Mzanzibari, na sawa na mtu akisema ni msukuma? Usukuma ni kabila wakati Uzanzibari ni utaifa. Utawezaje kufananisha?

Kuna watu wanazeeka na akili zao, lakini wengine wanazeeka miili na akili. Nadhani Duni yupo kwenye hilo kundi la pili.
 
Mgombea mwenza wa uRais wa Chadema mwaka 2015 Mzee Duni Haji anesema kwa mara ya kwanza tangu azaliwe ndio ameona Kwenye mkutano wa Kisiasa pale Temeke meza kuu Wamejaa Maaskofu Mapadre na Wachungaji

Mzee Duni Haji ambaye alijiondoa Chadema na kujiunga ACT wazalendo anesema Chadema kuna Udini, Ukabila na Unafiki uliokithiri ndio Sababu kila Siku utawasikia Rais ni Mzanzibari ilhali alikuwepo Mwinyi hawakusema Rais ni Mzaramo, alikuwepo Mkapa hawakusema Rais ni Mmawia na alikuwepo Kikwete wala hawakusema Rais ni Mkwere

Yule Magufuli aliitwa Msukuma na Wasukuma wenzake kutukuza kabila lao tu, amemalizia Mzee Duni Haji

Chanzo: ACT wazalendo TV

Mungu wa Mbinguni awabariki😀
Kasema Mkataba wa Muungano mwisho lini? Na kwanini ulihusu na vyama? Na haukusema liwepo jina la Tanzania, Wazanzibari jina la Tanzania linawachefua hata huyo kabisa. Jiongeze.

Back
Top Bottom