A sad day indeed; tumempoteza mmoja wa watu ambao walikuwa na maoni ambayo yaliweza kufanya watu watafakari. Alikuwa anafanya yale "Mazungumzo baada ya Habari" na kweli alikuwa anafikirisha. Zile dakika tano zilizofuatia baada ya taarifa ya habari na kabla ya kipindi cha Michezo zilikuwa zinagusa sana fikra. Sweet memories - RIP DW