Mzee David Wakati Katutoka Leo

Mzee David Wakati Katutoka Leo

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili. Sote ni njia moja.
 
RIP David!

Nadhani Muheshimiwa Sana Amepata sehemu ya Kwenda Kuzuga Kwa lengo la Kujifanya Yupo Karibu na Wananchi!! Naona Huu Msiba ni wa Hadhi Yake

RIP DAVID
 
RIP David, nakukumbuka sana enzi za RADIO TANZANIA.
 
Tumshukuru Mungu wetu kwa maisha aliyompa David hapa duniani na akaweza kufanikiwa katika kazi zake, hasa katika ajira kwa kulitumikia Taifa letu akiwa mtumishi wa Radio Tanzania. Apumzike kwa AMANI!
 
Namkumbuka huyu wakati huo akiwa Mkurugenzi wa RTD,pia alikuwa akiendesha kipindi mashuhuri cha NIPE HABARI. Sauti yake ilikuwa nzito ya wastani isiyokuwa na mikwaruzo kama ya Jacob Tesha wala mbwembwe kama kama za wakina Jongo na Benedict Kikoti (Ben Kiko).

BWANA alitoa na BWANA ametwaa, Jina la BWANA libarikiwe!
Amina!!
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa radio tanzania (RTD) amefariki leo hii alfajiri.
source: tbc
 
Back
Top Bottom