Anaposema "HATUKUBALI" anaongelea akina nani walio pamoja naye? Ooops kumbe ni yeye na vyombo vya usalama?Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.
Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.
"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.
"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.
Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.
"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.
Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Huyu mzee mpumbavu sanaMkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.
Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.
"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.
"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.
Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.
"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.
Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Mbona tuhuma hii ni nzito sana, na wala sikupata bahati ya kupitia thread ya usaliti wake au ni KIPINDI CHA ban ya TCRA?Laana ya kumsaliti Polepole ishaanza kumtafuna
Polepole hajatekwa alizungumzia kuhusu Mzee mstaafu kukengeuka, kauli zake zinaashiria moja kwa moja kuwa yeye ndio mlengwa.Mbona tuhuma hii ni nzito sana, na wala sikupata bahati ya kupitia thread ya usaliti wake au ni KIPINDI CHA ban ya TCRA?
Rais hakuchaguliwa, yale yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi.Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.
Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.
"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.
"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.
Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.
"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.
Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Huyu washamjadili kwenye space siku nyingi sana, kuwa alifuatwa na Abdul 'kusomeshwa' 'akajaa' na hivi punde angetoka na speech za kuunga mkono kiendawazimu kama hizi.Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.
Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.
"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.
"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.
Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.
"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.
Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Wote walifuatwa 'kusomeshwa', nasikia Warioba alichomoa, lakini huyu 'akajaa'.Changamoto ya nchi yetu ni kukosa Wazee wenye Hekima na Busara!
Kipindi hiki ulikuwa siyo muda sahihi wa Wazee kutoa tamko kama hilo!
Naona siyo muda mrefu huenda mzee Warioba atalazimishwa kutoa tamko!
Huyu mzee anaf*irwa mkun*du, amezungumzia nini kuhusu miili ambayo mpaka leo haijulikani ilipofukiwa?Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.
Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.
"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.
"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.
Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.
"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.
Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Sijasikiaga skendo ilivyokuwa mkuu, unaweza nieleza kidogo namna kalivyomkamatisha?Huyu ndio aliye msaliti Balozi H. Polepole. Vizeze hivi vife.
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.
Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.
"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.
"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.
Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.
"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.
Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Ndiyo, maana sie tunaemkataa ni watanzania piaNatofautiana naye.