Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Asilimia kubwa ya wasukuma hawana ujanja kwa akina "Cheupe Dawa" . Naota kuna babu Seya mwingine atakula mvua. Labda tu kama mwenye cheupe dawa awe mwoga,,ila akianza kufuatilia tu,,mtamsikia.
Kuna watu mnawaza mpaka mnaacha watu waonekane vichaa kwa kucheka, nimewaza hiyo kauli yako ya Babu Seya nikawaza hadithi ya "Nani amfunge paka kengele"
 
Watu wameamua kulianzisha mdogo mdogo dhidi ya ASIYEJARIBIWA maana hawa WAKUJA wamewaudhi sana. Haingii akilini kufanya upuuzi mkubwa kama huu wa kuwaingiza walipa kodi mabilioni ya hasara eti kwa kumuunga mkono uchwara.

Kumbe nanyi mlielewa vivyo hivyo
Hii ngoma karibu inapasuka mwisho wake hahahhhh ni haya
Hahaaaha mshana jr una akili wewe
BAK angalia body language ya kujitetea kwao utagundua jambo
 
Umesahau kauli ya Mkuu wa watenda haki kuhusu wanasiasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…