Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Kama tu watakuelewa wale wa upande ule

maudhui ya ile tamthilia ya Ngoswe yanahitimishwa na huu wimbo wa MATEMBELE.. Tafadhali utafute au wajuzi wa video watatusaidia
 
Nenda kinondoni kafanye kampeni, humu no!
Uchonganishi ni kazi ya chagadema
 
Acheni Masihara jamani.
Kumbe ni kweli Mkuu anamtafuna mama Kairu.....
Msukuma anapenda sana vitu vyeupe.

Namwonea huruma sana Mama Janetth.
 
Kama hujaelewa kilichoandikwa.. Unakaa kimya... Kukaa kimya ni bora kwakuwa kunaficha upuuzi mwingi
Bigup ur self mkuu kwa Fasihi....mzeebaba anauza mechi kwa zilipendwa tena maji ya jioni mkuu...kweli mjini ndio kila kitu
 
Mshana jr.
Napenda sana mchezo wa lugha
Mchezo kuntu kukwepa pingu tu
Waficha kitu mpuuzi hamaizi
Mtesi wa magwanda hapati kitu
Nguli wa kesi haokoti lolote
Korti yaitupa kesi asubuhi sana
Yaani kuumanya mchezo raha
Raha bila karaha tena kwa ada
Hongera mwanakwetu Mshana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…