Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaomba muwe makini na comments zenu... Isije kuonekana kuna watu mnawakashifu... Hali ni tete na bado tunahitaji kuonana JF..... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nichukue fursa hii kukuomba radhi..tatizo kama hili halitojirudia Mhe. mshana
 
kuna verrosa nyeusi inanifuatilia kila ninapokwenda na kibajaj change tokea asbh nilipochangia hapa,,naamua kufyata mkia sichangii tena

Usiogope mkuu mapenzi ni pembe la ng'ombe halifichiki. Huu uzi Mshana Jr. Amefanya yake wachangiaji hawaonekani ID zao wala Avatar zao. Uzi uko protected fully [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hahahahahahaha, and because he has crippled mind, then he won't understand what you mean
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…