Mzee Aomba Kuazimwa Jembe!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Tulikuwa tunasafiri kwa basi toka Moshi kwenda Dar. Basi lilisimama mahali katikati ya Same na Hedaru. Konda wa basi kwa sauti kubwa akatangaza: 'Kuchimba dawa jamani, wale wote wanaohitaji kuchimba dawa!'

Mzee mmoja aliyevalia t-shirt kuukuu aliinuka na kumwambia konda: 'Mwanangu, kama kuna jembe humu naomba mniazime!'
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,348

Possibly alikuwa anaenda chimba dawa kubwa! halafu si unajua wazee kwa kujali mazingira!
 
Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,229
2,000
babu alitaka kwenda kuvimba sa ilibd akumbke kijijin kua choo unachimba af unafukia baaassmerry christmass
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom