dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,038
- 3,124
"Watoto wangu hawatanishukuru kwa kumchagua mama Mlevi kama alivyo yeye"Kama ni mwanaume huwezi uliza swali la kipuuzi kama hilo,
Kwa hiyo unadhani wanaume wakikukula unafikiria wote wanampango wa kukuoa?
Sex kwa mwanaume sio sababu ya kukuoa,, sex ni starehe kwa wanaume wote duniani..
Na ndio maana mwanamke mwenye akili lazima aulize kuwa yeye ni chombo cha starehe au ni mke mtarajiwa? Sasa wewe kalia na uchoko wako hapo
Kwa hiyo kauli yako nafikiri hata huyo mtoto wako atakushukuru sana.