Mfano hatua gani nikishajua ana mimba naweza chukua?Ikitokea ana mimba ni rahisi kuchukua hatua kabla haijagundulika shulen
Hapo mtajua familia mnafanyajeMfano hatua gani nikishajua ana mimba naweza chukua?
Mkopo wa world Bank tuliopewa moja ya sharti mimba ruksa mashuleni. Cha kuishauri serikali ni ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wa watoto mashuleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kila kitu watajadili familia, huu ushauri wako wa nini.?
Wewe kweli hakuna kabsa.
Mabazazi yamejaa humu yanakodoa tu.
Kila uzi unaoletwa humu unahamasisha kuwaharibu watoto na wanafunzi.
Mara sijui kula kimasihara... lakini watu wanaona sawa tu. Na wengine ni wazazi lakini wanashangilia kama machizi.
Wengine wanawalawiti watoto wao wa kuwazaa. Wapo humu wanapongezana na kushangilia.
Unaweza ukaona ni jinsi gani tulivyo na jamii ya sexual deviants, wafiraji, wanajisi na waharibifu.
Sent using Jamii Forums mobile app