Mzayuni ni nani?

Mzayuni ni nani?

Unaongelea ushahidi mmoja tu hata ukitaka 100 ntakupa Hitler alihusika na mauaji ya wayahudi the same ambavyo waturuki walihusika na mauaji ya wa-Armenia na wengineo


Kuhusu hilo soma kitabu cha Holocaust: The Nazi Persecution and Murder of the Jews kimeandikwa na Peter Longerich

Msikilize myahudi , anaongea kitu gani


 
Unaongelea ushahidi mmoja tu hata ukitaka 100 ntakupa Hitler alihusika na mauaji ya wayahudi the same ambavyo waturuki walihusika na mauaji ya wa-Armenia na wengineo


Kuhusu hilo soma kitabu cha Holocaust: The Nazi Persecution and Murder of the Jews kimeandikwa na Peter Longerich
Kujadili na mtu asie na elimu ni kazi kubwa kuliko kuhamisha mlima.
Unadai una ushahidi hata 100. Mimi nimeomba MMOJA TU. Unaniambia nikasome kitabu cha history kilichoandikwa na mjerumani mwenye asili ya Kizayuni.

Kijana unafahamu maana ya USHAHIDI?
I ask for something called "EVIDENCE " or "FACTS" without reasonable doubt. NOT HISTORY BOOK writen by another Zionist who was born in 1955.
Una tatizo la ubongo liitwalo "selective understanding "
Hapa siwezi kukusaidia kitu.
Kaa kimya waje wenye elimu kujibu hoja zangu.
 
Wewe ni mwongo, kwenye kuajiri tunaangalia uwezo wa mtu ili kampuni iweze kutengeneza faida, biashara ni ushindani, rate ya watu kwenda uarabuni ni ndogo kuliko wanaotaka kwenda Amerika na Ukata, uarabuni bado siyo rafiki sana kwa waafrika kama nchi za magharibi. Pale Said Arabia ukionekana una Bible inafungwa. Kidogo Dubai ndo wamefanya mapinduzi ya kuruhusu imani zote lakini siyo miji yote ya Qartar
Idadi ya watu wanaotaka kwenda Uarabuni lzm iwe ndogo sababu waarabu Hawahitaji watu wengi.
Nchi za kiarabu nyingi population yao ni ndogo sana.
USA kuna Watu 331.9 million
Nchi za waarabu zote ukizichanganya hawafiki hata asilimia 10% ya USA.
We ulitaka walingane kwenye idadi una akili timamu?

Kuhusu kubeba biblia Saudia we unadhani kitabu kinachosema mungu alipigwa na viumbe aliowaumba akalia mpk akafa kinafaa kusambazwa kwa watu wanaoabudu MUNGU MMOJA?

Kama vile ibada ya MUNGU MMOJA pamoja na miskiti ni marufuku VATICAN
Vile vile Ibada za sanamu la mzungu na kuvaa vimini kwenye nyumba za ibada ni marufuku Saudi Arabia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom