Mzawa wa Zanzibar ni nani?

hakuna jazba wala nini, jazba mnazo nyie wapagani na uamsho wenu... upagani mtupu.. peaneni 'laha' wenyewe huko huko msituletee 'ufilauni' huku kwetu maana sie twamwogopa Mungu aliye hai ati!!!

Mungu anazaliwa kwenye familia??

Hivi Mungu ana mjomba , kaka , dada, mama, hata marafiki wa kucheza nae ??? Mungu huyo anaenda haja kubwa na ndogo, anatawazishwa ,anavishwa pampers , kazi ipo

Sikulaumu maana akili yako ni ya mgando unaburuzwa tu
 
Karume asili yake kigoma, mwinyi asli yake mkuranga, hassan nassoro moyo mngoni, jumbe kama sio mdengereko basi mngoni , moulidina kastiko mzulu,
Karume ni mnyasa wa Malawi hadi sasa ana ndugu huko,ni kama Mkulo
 
Mkuu ninani alipinduliwa? Na kwanini apinduliwe kama haina mwenyewe?
 
Mkuu ninani alipinduliwa? Na kwanini apinduliwe kama haina mwenyewe?

Ilivamiwa na Tanganyika viongozi wake wakafungwa na Baba yenu wa taifa katika majela ya Tanganyika kabla ya Muungano April 1964 na ndio ukaona harakati hizi za kudai uhuru zimeshamiri
 
Mungu anazaliwa kwenye familia??

Hivi Mungu ana mjomba , kaka , dada, mama, hata marafiki wa kucheza nae ??? Mungu huyo anaenda haja kubwa na ndogo, anatawazishwa ,anavishwa pampers , kazi ipo

Sikulaumu maana akili yako ni ya mgando unaburuzwa tu

wapi umeona nimesema hayo unayosema? we kweli mtindio.. Mungu wako ni jua, mwezi na nyota nini? oops.. sori i forgot wewe ni pagani na umejaa udini and always out of topic/conversation!!!
 
Nachofaham ni kwamba watu wote wanaoishi visiwani (kisiwa chochote unachokijua wewe) huwa ni wahamiaji kutoka maeneo mengine ! Labda swali litakalobaki ni nani alimyetangulia mwenzake kufika hapo kisiwani
 
wenyewe wazanzibari hawalijui hilo!ogopa sana mtu anayekushinikiza ujitenge,uuje anataka njia nyepesi ya kukutawala kama sio kukufukuza kabisa.iko siku kama wazanzibar watajitenga,watajutia maamuzi yao!maana wataambiwa warudi kwenye asili yao na hao wanaowashinikiza wajitenge,wataenda wapi?
waarabu wanakitamani kisiwa cha zanzbar to siku walipokipoteza toka mikononi mwa KARUME hawajakisahau, wanatamani kurudi znz.

Waarabu wanakitaka kisiwa hicho lakini sina uhakika kama wanawataka waznz.
 
Nataka kujua kuwa mzawa wa Zanzibar ni nani na asili yake ..kwani hawa wenye uzawa wa kiarabu ni wakuja tu ...sasa je ni nani ni mzawa wa Zanzibar?

Wa asili ya kiarabu ndio wepi hao?

Kumbuka Uarabu si rangi, uarabu ni lugha na ni lugha inayoongewa sana Afrika kuliko kontinenti lingine lolote.
 

waache wanaopiga kelele bila hata kujua kuwa wanatumika tena sio kwa maslahi yao,wamefungwa kwa minyororo ya dini hawajitambui tena,watakujashtuka wakati it is too late
 
SinaChama, lete habari zaidi tafadhali. Siku zote bwana kusoma kunasaidia sana kuliko kupiga vuvuzela na kushabikia vitu usivyovijua. Zanzibar waafrika weusi waliteseka sana na utumwa wa waarab. Leo hii waarab hao hao wanataka kurudia tena ule ukoloni wao kwa watu weusi hivyo wanarubuni walalahoi walete mwamko, na ile nchi ikirudia tena kwenye mikono ya waarab basi ndugu zetu mkae mkijua mtateseka shinda miaka ile. Je, mtaenda wapi?
 
Last edited by a moderator:
watanganyika walichukuliwa kwenda kutumikia waarabu.

Ndugu Zigzag. Waafrika wenye asili ya kibantu walikuwepo znj Kabla ya marabu kuingia znj. Hao wabara waliopelekwa utumwani walikuwa ni nyongeza tu.
Ukisoma historia utagundua waafrika weusi walimkaribisha marabu ili awasaidie kumpiga vita Moreno ambaye alikuwa anatawala Zanzibar kabla ya Muarabu. Kwa bahati mbaya Muarabu baada ya kumshinda mreno naye akawa mtawala.
 
Hiyo mbuga inaitwa Jozani. Wavuvi wenye asili ya kiafrika ndio watu wa mwanzo kufanya makaazi Zanzibar . Neno zanzibar maana yake pwani ya watu weusi. Jina lenyewe linajitosheleza. Sasa ukweli kwamba baadae watu wa mataifa mbali mbali wamehamia nayo ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…