Mzanzibar anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja akataliwa ukimbizi Ujerumani

,ko unakaguliwa kama kweli unatafunwa dunia hii yaani mtu anakufatilia uitende Dhambi lasivyo unarudishwa
Sasa hivi ushoga ndio sababu kubwa ya watu kuomba ukimbizi hasa kutoka nchi hazina machafuko. Wengi wamepewa protection kutokana na hii sababu ya ushoga. Ila wengi protection permit zao zimekuwa revoked baada ya kupatikana wanaishi na wanawake badala ya wanaume wenzao
 
Aende uingereza, marekani au israel nadhani huko uraia atapewa fasta hata mume pia watampatia.
 
Kamanda Nassir alisema baada ya kupata taarifa, walimchukua mkewe hadi katika nyumba iliyominika Sabri yupo na Saleh wakifanya kitendo hicho na kuwakamata.

Alisema wameunda tume za upelelzi kutoka wilaya tatu kulifuatilia suala hilo ili kujua ukweli wa tuhuma hizo.

Swahili imekuwa ngumu kwangu.. sasa hapo kwanini uchunguzi na walidai waliwabamba live?
 
Ulifikiri wakizeeka marinda yanarudi?


:cool::cool::cool::cool:Dah haya majibu yako yanachekesha saana. Kwa hiyo jamaa alizani alivyofumuliwa marinda - akizeeka yatarudi?.....Mwache arudi Zanzibar - watu waendelee kumla si anapenda yeye mwenyewe? Tena arudi baada ya sikukuu ya IDD - akute watu wameshamaliza mfungo.
 
Mtoa mada fafanua. Huyu sheikh Sabri alimshikisha mtu ukuta mpaka mkewe akaona wivu au sheikh alikua analiwa?
Hivi Zanzibar ukipewa dhamana na passport yako wanakuacha nayo?
Mie nadhani Sabri alikua amemkwida mtu. Yeye ni jogoo sio koo
 
Kumbe Zanzibar kumfumua mtu mzima marinda ni kosa. Nilidhani kosa ni kumrudi mtoto.
Yule Kirigo mpenda mavi wa TRA yuko ndani au nje anaendeleza ujinga?
 
Huyo jamaa maarufu znz. Wanaijeria wengi wameomba ukimbizi ujerumani kwa kujifanya mashoga na wala sio mashoga.wao wanaangalia opportunity tu
 
Huyo jamaa maarufu znz. Wanaijeria wengi wameomba ukimbizi ujerumani kwa kujifanya mashoga na wala sio mashoga.wao wanaangalia opportunity tu

Ndivyo mnavyodanganyana mitaani ?? Wa Nigeria hao ni mashoga kweli hata Wa Bongo wapo walioomba ukimbizi , huwa wanapelekwa kwa zile organisation za ushoga ambao ndio wanaohakikisha na kuwaombea vibali vya kuishi.

Ingia google utapata habari zote
 
Swahili imekuwa ngumu kwangu.. sasa hapo kwanini uchunguzi na walidai waliwabamba live?
Hawakuwabamba LIVE. si walikua wamefunga mlango? Sasa mlango ulipofunguliwa walikutwa sheikh na jamaa yake wameduwaa ndani. Inabidi uchunguzi ufanywe tujue yupi alikua choko na kama kweli marinda yalifumuliwa? Huwezi kukuta wanaume 2 wako chumbani ukawashtaki bila kuchunguza kama iliingia au la
 
Back
Top Bottom