Mzanzibar anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja akataliwa ukimbizi Ujerumani

Eagle Wings

New Member
Oct 22, 2018
1
1
Mwandishi: Mussa Ali, Zanzibar

Tumepokea taarifa za kuthibitika kwamba Mzanzibar anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja “shoga” aliyekimbia Zanzibar mwaka 2014 baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na mwanaume mwingine yupo hatarini kurudishwa Zanzibar baada ya Ujerumani kukataa maombi yake ya ukimbizi.

Mzanzibar huyo anayefahamika kwa majina Sabri Al-Harthy mwenye umri wa miaka 50 alikamtwa akiwa katika tendo na mwanaume mwingine aliyejulikana kwa Jina la Saleh maeneo ya Vuga na kupelekwa Kituo cha Polisi Madema mwaka 2014 ambapo inasemekana aliachiwa kwa dhamana.

Taarifa tulizopokea ni kwamba mwaka huo wa 2014 Sabri alikimbia Zanzibar na kuhamia Dar es salaam alipokuwa anajificha hadi alipokimbia Nchini na kwenda kuomba hifadhi huko ulaya Nchini Ujerumani.

POLISI Mkoa wa Mjini Magharibi, walimkamata Sabri Al-Harthy mwenye umri wa miaka 50 kwa tuhuma za kufanya mapenzi ya jinsia moja na mwanaume mwingine aliyejulikana kwa jina la Saleh.

Kamanda wa polisi mkoa huo, Hassan Nassir Ali, alitoa taarifa hiyo wakati akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake Madema.

Alisema Sabri ambae ni mfanyabiashara nchini, alikamatwa akiwa kwenye kitendo baada ya mke wake (Jina linahifadhiwa) kutoa taarifa polisi.

Kamanda Nassir alisema baada ya kupata taarifa, walimchukua mkewe hadi katika nyumba iliyominika Sabri yupo na Saleh wakifanya kitendo hicho na kuwakamata.

Alisema wameunda tume za upelelzi kutoka wilaya tatu kulifuatilia suala hilo ili kujua ukweli wa tuhuma hizo.

Alisema kumekuwa na malalamiko juu ya mtuhumiwa huyo kuwa anaonewa, lakini polisi hawamkamati mtu asiye na hatia.

“Watu ambao tunawakamata kwa tuhuma za ushoga sio Sabri na Saleh pekee wapo wengi tumewakamata ambao wanahusika na makosa haya,” alisema.

Jitihada za kumpata aliyekuwa mke wa mtuhumiwa kuthibitisha kukamatwa kwake zimeshindikana.
 
Ukimbizi unaombwa hata kama aliyekimbia hajatokea sehemu yenye machafuko?
Japo machafuko ndiyo sababu kuu, kuna sababu nyingine lukuki zinazoweza kukufanya ukaomba ukimbizi nchi nyingine. Unaweza kuwa umekimbia kunyanyapaliwa kingono kama huyu punga, hali ngumu ya maisha isiyomithilika, usalama wako kuwa hatarini mf. Kama kuna gang violence sana, njaa na hata kutishiwa maisha yako kwa sababu za kisiasa (mf. Antipas anaweza kuomba ukimbizi Ubelgiji). Ila huko unakokimbilia sheria na sababu zinatofautiana kutoka nchi moja kwenda nyingine na ni vyema kuzijua kabla hujatimka.
 
Japo machafuko ndiyo sababu kuu, kuna sababu nyingine lukuki zinazoweza kukufanya ukaomba ukimbizi nchi nyingine. Unaweza kuwa umekimbia kunyanyapaliwa kingono kama huyu punga, hali ngumu ya maisha isiyomithilika, usalama wako kuwa hatarini mf. Kama kuna gang violence sana, njaa na hata kutishiwa maisha yako kwa sababu za kisiasa (mf. Antipas anaweza kuomba ukimbizi Ubelgiji). Ila huko unakokimbilia sheria na sababu zinatofautiana kutoka nchi moja kwenda nyingine na ni vyema kuzijua kabla hujatimka.
Shukrani
 
Harudi hawe chakula jera kainamishwa kapakwa mafuta pumbavu sana huko ulaya nasikia ndiko wanapokea machoko kama wamemkataa waturudishie choko wetu tumfunze adabu ana ichafua nchi yetu
 
Sasa hivi ushoga ndio sababu kubwa ya watu kuomba ukimbizi hasa kutoka nchi hazina machafuko. Wengi wamepewa protection kutokana na hii sababu ya ushoga. Ila wengi protection permit zao zimekuwa revoked baada ya kupatikana wanaishi na wanawake badala ya wanaume wenzao
 
zanzibar hatari tupu na wazanzibari ni hatari sitaki watoto wangu wawe na marafiki wanzanzibar no way
 
Back
Top Bottom