spacing
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 265
- 110
Habari zenu wakuu!! leo napenda tushare wazo (theory) inayoelezea sababu za kuwepo na utofauti wa kupendwa na wazazi at defferent level of loveness.
kwanza kabisa "most human being are born accidentaly" i.e without either one or both two parents will.Mimba inayoingia kwa bahat mbaya mtoto anayezaliwa hatakuwa na high affinity to parents ukilinganisha na yule ambaye mimba yake kutokea iliplaniwa vizuri in each and every things,imotionaly kila mzaz alikuwa safi,i mean biological and socialy.Enzymes,neurones and hormones zote zlicreate sinsudol electric and magnetic frequencies which lags behind each other such that no any interference can occur in the process of obtaining pregnant,this phenomenon inapelekea spiritual connection kwa mtoto anayetaftwa na wazazi hao.This situation usualy it creat high affinity for kid to be to his/her parents.Thus why mtoto hata kama ni mtundu kias gan eg.mwizi,malaya lakini bado anapendeka sana kwa wazazi.This is a law of nature,nature haiangalii results inaangalia source(chanzo).Ngoja nikomee hapo kwanza