Mzalendo asiyependa kukaguliwa....


Washamba wanawaangalia nyie waerevu na kujiuliza pamoja na uerevu wenu wote mbona washamba wanawatoa jasho? Acha kuota awamu ya 4 hapa na kukumbusha haya majeraha yake kwa Taifa hili. Vidonda bado havija pona na mkiendelea kuvikunakuna na hizo kucha zenu chafu vitatoa damu na kupata infections. Damu itakayo toka katika vidonda hivi vya Taifa/Nchi hii haita mwaacha salama Kibaka Mwenye Heshima/KIMWEHE yeyote.

CAG katangaza mwenyewe hadharani tena huko UNO kuwa hana imani na Bunge la JMT. Yeye kwanza si kati ya hao washamba, si ndio? Ajiuzulu basi tuuone uendelevu wa huo ujasiri wake. Haiwezekani akafanya kazi na asiokua na imani nao, haiwezekani! Uzuri kaliongelea USA na anajua wa aina yake huko huchukua hatua gani baada ya kutoa dukuduku zao. Asilete ujanja ujanja ajiuzulu. Kumbe mvi sio siku zote maana yake ni uzee wenye hekima.
 
Rubbish
 
Hao jamaa sijui wana matatizo yakufikiri ...haiwezekani wawe wanafanya mambo ya kijinga kiasi hiki aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ni fisadi babu kubwa kuliko maraisi wote mpaka government pay master ni mtoto wa dada yake Yule aliyepiga naye picha akina ICU wanazichota tu fedha za umma
 
Crap!
 
Paymaster yatakiwa atunze kumbukumbu yatamkuta ya kama makontena ya masamaki awamu ijayo pale makaburi ya awamu hii yatakapofuliwa
Magufuli ni fisadi babu kubwa kuliko maraisi wote mpaka government pay master ni mtoto wa dada yake Yule aliyepiga naye picha akina ICU wanazichota tu fedha za umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiambiwa dhaifu dawa yake ni kujitathimini.
 
Punguza mahaba kama aliwah kuwepo mzalendo nchi hii bac Sokoine nambar moja weng waliobaki n wazugaj tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanafunzi asiyetaka kusahihishwa..anapenda kujipa tiki tu hata kwenye makosa
Ndio hawa utawakuta na peni nyekundu kwenye mabegi yao, hao ni wanafunzi na hao hao ndio walimu. Ina walazimu wacheze faulo vinginevyo Asad akichafua hali ya hewa mwaka huu, mwakani kampeni hazitonoga kabisa. Ujanja ujanja tu.
 
yaani hapo ndio umepigilia msumari. Kwamba hii vita ya ufisadi ina maana gani kama Taasisi za serikali hazitaki kukaguliwa na CAG?
 
Hii Nduli kajifedheesha sana. Sasa drama za kupambana na ufisadi atazifanyaje? Werevu tumembaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…