Mzalendo asiyependa kukaguliwa....


Huu ni mtazamo finyu na hatari sana! na ni wa hovyo…ni kama unajitekenya mwenyewe afu unacheka…ukiambiwa jizi sijui utakataa!? Hivi Magu amewakosea nini huyu baba wa wa watu ambaye wakati wote yuko busy akiibuwa mambo yanaoikwamua nchi yetu pendwa tz? Kila muda mnajaribu kumchokonoa na kumtupia kila upuuzi wa kashfa zisizo na maana yoyote. yaani kwangu mie hata kama ingekuwa kweli amechukua hayo ma 1.5T ningeenda kulala kitandani kwangu kwa amani nikijua ataibuka na jambo lenye maslahi mapana ya nchi yangu ya Tz lenye matumizi sawia ya 1.5T! Nyie wenye mawazo ya kumhisihisi vibaya ndio wenye nia ovu, na mshindwe na kulegea!
 
Unavyowaza kuwa hata angechukua hizo 1.57T wengine nao wanawaza tofauti heshimu mawazo yao.
 
Unavyowaza kuwa hata angechukua hizo 1.57T wengine nao wanawaza tofauti heshimu mawazo yao.
Rais wetu mpendwa JJPM anahitaji kutiwa moyo sio upuuzi huu wa banyamlenge ambao kucha kuchwa wanatafuta mbinu za kumhujumu! Inanikera mie…basi tu! Eh Mwenyezi Mungu tunaomba uzidi kumtia nguvu na kumuongoza rais wetu mpendwa Dr. JJPM na serikali yake! Mungu tunaomba uzidi ibariki nchi yetu tanzania!
 
Ndungai ni fimbo ya ikulu, yaani ikulu inamchapa CAG kwa fimbo, inayoitwa Ndungai ambaye ni speaker wa bunge, na yeye kwa kuwatisha wabunge wenzake wa ccm atawaambia msipokubaliana na hoja husika rais atavunja bunge.

Sasa kada mwenzangu wa lumumba sijui umesahau jinsi tunavyoendesha inchi na chama chetu kinafiki.
jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha

2020 John Walker out
 
CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya rais
We mtoto acha kupotosha,raisi wako aliuliza kama pesa hizo zimeibwa ndipo CAG akakataa.
.
.
Kwenye ripoti ya cag hakusema zimeibwa bali hazijulikani zilipo kwani hakuna mahali zimeainishwa matumizi yake,
so swali aliloulizwa si juu ya kutoonekana bali kuibwa na jibu alilotoa ni sahihi.

Cha kujiuliza raisi kwanini aulize swali tofauti na ambalo lingefaa kuuliza? MWIZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
Kaitwa Bungeni.......

Lakini kwa kuwa serikali hii namna inavyofanya kazi kati ya Bunge na serikali, kama chanda na pete, itakuwa ameitwa "indirect" Ikulu kwenda jibu mashitaka
 
CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya rais
Pale sio mahali pake kubishana na jiwe mwenye mamlaka yaliyopitiliza, CAG amefanya ukaguzi maalum kuhusu 1.5T, ss kabla hajatoa amri ya kumkamata kwa pingu cag, apeleke hiyo ripoti pac ili matukio yaende first come first served!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…