Mzalendo asiyependa kukaguliwa....

Mzalendo asiyependa kukaguliwa....

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,150
Reaction score
56,461
Kitendo cha Spika kumdhalilisha Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali kupitia kwa Spika ina jambo inalificha haitaki lijulikane.

Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.

Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.

Ina maana serikali hii haina watu wenye akili ya kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike wizi kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.

Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha? Ni uzalendo gani huo sasa wa kutataa kukaguliwa. Kama hamtaki taasisi za serikali zikaguliwe hiyo vita ya UFISADI mtaishinda vipi au ni kiini macho tu?
 
Kitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.

Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.

Awamu hii kumetokea nini wakati inajinasibu ni serikali ya wanyonge inayoendeshwa na mzalendo.

Nini wanaficha.
Anatamani aweke MTU wake wa kumfichia maovu
 
Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
 
Kitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.

Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.

Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.

Ina maana serikali hii haina watu wenye uwezo wa kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.

Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha?
sterling ni mshamba sijui wafuasi wake wakoje, Naona wajanja akina Nyoka wa makengeza hawamsaidii kwenye zile mbinu zao za kijanja kuficha wizi wake.

kila analofanya akijaribu kuficha anajikuta anakosea tena. ni kama kuna laana hivi inamfata.
 
self proclaiming mzalendo, bila shaka alikaa na mtoto wa shangazi wakapanga matumizi ya kodi za wananchi kanakwamba ni hela walizozipata baada ya kuuza ng'ombe wao. Umefika wakati wa kukaguliwa anafura kwa hasira na kuanza kumtumia yule matonya kumtisha mkaguzi. 2020 wapinzani watamchafua sana na asivyojua kujibu hoja anaweza kufa kwa presha.
 
jibu hoja ?,CAG kaitwa ikulu au bungeni?
"Prof. Assad alifanya Ukaguzi Maalumu Kuhusu matumizi ya shs 1.5T zilizokuwa hazina maelezo kwenye ukaguzi wa mwaka 2016/17. Taarifa hiyo ya Ukaguzi Maalumu ipo mezani kwa Spika na Spika ameikalia hajaipeleka PAC ili iwasilishwe Bungeni. Mvutano huu wa Spika na CAG ni ujanja tu". Zitto Kabwe.

Connect the connections between Rais - CAG - Spika.
 
sterling ni mshamba sijui wafuasi wake wakoje, Naona wajanja akina Nyoka wa makengeza hawamsaidii kwenye zile mbinu zao za kijanja kuficha wizi wake.

kila analofanya akijaribu kuficha anajikuta anakosea tena. ni kama kuna laana hivi inamfata.
Mikono yake ina uka damu za watanzania wasio na hatia, hakuna atakalolifanya likafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kumsumbua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali si safi kuna jambo inaficha haitaki lijulikane.

Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.

Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.

Ina maana serikali hii haina watu wenye uwezo wa kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.

Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha?
Pale juu kuna mwizi asiyetumia akili bali mabavu tu
 
PPale juu kuna mwizi asiyetumia akili bali mabavu tu
 
Back
Top Bottom