Mzabe Kofi Akirudia!!

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,242
Kama hataki kujirekebisha na wewe unadhurika kwa makosa atendayo, akirudia MZABE KOFI!!
 
hivi kuzaba kofi ni kiswahili fasaha? Mi nkajua kihehe.
 
Akianguka je halafu akaumia ubongo itakuwake?
 
wengine wana miguvu ukimpiga kofi, atakupiga kichwa kisha anakukata mitama miwili ya ghafula, lazima ukate network
 
mmmh...wajameni kuna vilaza humu...mafumbo sio fresh ohooo!..
 
ukiona mtu haeleweki,
wewe ondoka mdogo mdogo,
tena jaza maji mdomoni ili usiseme neno hata moja.
 
ukiona mtu haeleweki,
wewe ondoka mdogo mdogo,
tena jaza maji mdomoni ili usiseme neno hata moja.
Kwa nini ujipe shida ya kujaza maji mdomoni. wewe mpe KELBHU!!
 
Ngoja kunamchizi ananizingua sana tukiingia Lecture, ntampa MBATA moja la Shingoni,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…