tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
milioni tatu!!!! duuu hapo nimepata kiwanja tayari
milioni tatu!!!! duuu hapo nimepata kiwanja tayari
Umeandikiwa kuwa ni thamani ya dollar 25,000 ambayo ni sawa na tsh milion 30 ya kitanzania, unawaza nini? au njaa kali?
USD25000× 1800Tsh=45,000,000/=
Hicho kiingilio kingekadiriwa kuwa cha kuanzia hapa kwetu na cha chini kikawa laki tatu naona ngumi zingepata wateja wengi kidogo. Na hako kamuchezo kangekuwa poa tu
Umeandikiwa kuwa ni thamani ya dollar 25,000 ambayo ni sawa na tsh milion 30 ya kitanzania, unawaza nini? au njaa kali?
Duu dollar imepanda hivyo, tulipiga hesabu hivyo pale alipozindua kikinga meno hicho
5000 eeeeh
View attachment 241765 Katika kujiandaa na pambano kubwa kabisa la ubingwa wa dunia wa ngumi , bondia floyd myweather pichani ametengeneza mouthguard" yenye thamani ya dollar 25000 ambayo ni sawa na tsh milion 30 ya kitanzaniaView attachment 241767 pambano hilo litalofanyika 2/may/2014 uko marekani imeelezwa ndio pambano lenye pesa nyingi katika historia ya mapambano ya ngumi hapa duniani, kwani kiingilio cha chini kabisa ni sawa na 3 milion ya kitanzania