My x is making me mad!

Kibongobongo hua tunapenda siku ukionana na X wako awe taabani, kapigika, maisha yamemnyoosha kapauka kama mhogo. Sasa unapokutana nae yuko safi na tabasamu tele roho huuma, na mbaya zaidi unakuta kapata partner bora zaidi dah hapo ndo huuma zaidi.

Kwa mleta thread, ushauri wangu huyo dada muache aendelee na maisha yake kwa mpenzi wake mpya. Wee ulichezea nafasi ijutie basi.

Hahaaa mkuu, umenikumbusha hapa kuna kidemu nilikuwa nacho, kikaniletea [pozi za kijinga nikakipiga chini, halafu wakati nipo ncho 70% ya eexpenses nilikua nazibeba mimi, baadae ya kukibwaga kilikaa kama miezi mitatu kikaanza kubip, kuna siku nikawa napita maeneo ya Uhamiaji pale Posta mvua ilikuwa inanyesha halafu nilikuwa ndani ya Taxi nikakiona kimechoka choka, dah nilijichekea moyoni nikakichukua mpaka break point, tukapata lunch...
sasa wakati wa kulipa pesa yule Waitress akawa ametuzidishia kama shilingi 7,000/= dah kidemu kikapiga Calculation kikajua tumeibiwa kikajifanya kinapandisha mpaka kikamwita Meneja pale, pesa ikarudishwa, na siku hiyo nilikua natoka kuuza share zangu pale DSE nilikua na karibu milioni 2 kwenye bag, yangu basi kwa makusudi nikaamua kumuonyeshea yule demu macho yalimtoka, tukamaliza kula nikawa naelekea Azania Bank nikakiambia next time, tukaachana baada ya dakika kama 10 kikanipigia, kinaniambia kimebiwa pochi wakati kinapanda daladala, nikakiambia njoo kikaja pale nikakipa sh. 2,000.
Nilicheka sana dah, mtoto alikuwa amefulia halafu siku hiyo nakutana nae nikaenda kumpiga lunch ya 12,000. na nikampotezea sikua na story nae. aliumia sana nilipomuangalia.. I MADE HER MAD
 
Aint fare bro, if u eva had tru filin 4 that chick usingemsemea mbaya, i reapeat aint fair..am out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom