BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Watu wengine wana akili nusu kikombe.
Dunia ya leo usitumie Internet, E-mails unapokeaje, taarifa mpya unazipataje?
Halafu ukitaka ku-google unafanyaje.
Yaani wakati Dunia inakwenda mbele kuna wengine wanarudi kinyumenyume!
Sasa naamini kizazi cha wanaume kinazidi kupungua
Kweli wewe unafaa sana kwa kutengeza swali na kisha kujijibu. Nadhani baadae utakuja na jibu kuwa sababu ulizokuwa nazo wewe kumzuia ndio na yeye anazitumia kukuzuia.
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn
Kama baba na mama hawatumii internet obviously watoto pia watakatazwa. Can you imagne future ya familia ya huyu dogo?
Dogo anahitaji msaada wa kumtoa kwenye ushamba la svyo familia yake itaangamia...
Ugonjwa ulio nao kumkataza mtu kutumia internet haitakuwa suluhu yake! Daaa alaf bila aibu unatangaza kuwa umefanya hivyo! Hivi msichana wa kumnyanyasa kiasi hiki umemtoa wapi? Huu ni ujinga!
Sio ushamba itakuwa ni ujinga..Kuna watu wspo shamba/washamba but still wanatumia internet..Wewe ni MSHAMBA.
Nadhani imefika wakati JF ifikirie entry requirements...
ndo hivyo wanaume wnzangu,mwanamke kanuna leo cku ya tatu kisa na mm nisiingie huku naona km analeta mashndano flan hv ukizingatia nampenda duh nimechoka sn
Khaaaaaaaaaaaaaaa! haki ya Mungu mm naona atanichinja , yaani ananitoa kwenye mwanga ananipeleka kizani, na mm naenda tu kisa nn ? Kuolewa kwa hilo hapana.hakuna kitu kibaya my loya kama mwanaume kutokujiamini.
Wanaanzaga hivyo hivyo leo anakukataza fb....kesho jf ...mtondogoo inakatazwa kutumia internet kisha unapigwa marufuku baadhi ya marafiki halafu utaambiwa hakuna kupaka perfume, marufuku kupaka make up kata nywele marufuku kwenda saluni, the utaambiwa marufuku kwenda kwenu kusalimia hata ukitokea msiba.....mwisho utaambiwa marufuku kumiliki simu....
Na mwanamke anayekubali nae kiazi.........
Yaani huyo anafanya yala ya chongo kwa Mnyamwezi , kwa Mzaramo bahati mbaya. wakati wote wameumbwa na Mungu.Sio ushamba itakuwa ni ujinga..Kuna watu wspo shamba/washamba but still wanatumia internet..
Na huyo mkewe kafanya vema ngoma iwe droo
sikiliza triple A,katika ulimwengu wasasa internet ni muhimu sana, isipokuwa kunamipaka ya utumiaji kwa mambo yaliyo muhimu sana, mfano mm na mkewangu tulikubaliana kutotumia fb wote baada yakuona madhara yake kama upotevu wa mda,kutongozana tu. Isipokuwa tunatumikwa mambo ya msingi kama kupata taarifa na kupashana, kimasomo.elimishanane tu.