Je naye akupa kama unavyompa na hampunjani?maria rosa, as long naenjoy life wala hainipi shida....wanasema niko chupani nimekabwa kweli! Hamna ngebe kama penzi nampa yeye na ni yeye tu...
Safi sana kama ni kweli, kaza kabisa huo mfuniko alimradi tu pesa zote naleta home na tunakula kama familia. Nakupongeza sana maana pengine usingefanya hivyo vijisent vyote vingeishia kwa akina nanilii. Achana nao wanao kusema sema, mm siwasikilizi ng'ooo!
hahahahahahhaah lol umenikumbusha moves fulani ya Ki Nigeria niliionaga mwaka wa 1998.....lol
nikikumbuka jina ya move ntarudi hapa hahha lol
We baki humohumo kwenye chupa lakini badili jina we sio shapu tena,Afrodenzi vipi ile signature nzuri imeenda wapi ? hii pia nzuri lakini ile ni zaidi au umeshapata ...
hahahah lol naona unapenda sana signature zangu lol asante ilee nimeifadha kwa ajili yako baadaye hahaahhaha lolWe baki humohumo kwenye chupa lakini badili jina we sio shapu tena,Afrodenzi vipi ile signature nzuri imeenda wapi ? hii pia nzuri lakini ile ni zaidi au umeshapata ...
nilikua nimeshalala kabisa roho wa bwana akaniambia niamke nirudi JF sikumwelewa,sasa ndio namuelewa!
hahahah lol naona unapenda sana signature zangu lol asante ilee nimeifadha kwa ajili yako baadaye hahaahhaha lol
usijali labda utaipenda ya kesho pia lol
nilikua nimeshalala kabisa roho wa bwana akaniambia niamke nirudi JF sikumwelewa,sasa ndio namuelewa!
Maza hausi punguza jazba jamani mi ni wako lakini huyu afrodenzi nilishamwambia ataniletea matatizo ukienda kwenye jukwa la picha kaniambia i love you nikamwambia naomba tu cheusi asione italeta tafrani humu.
Jamani we afrodenzi huoni maza hausi kawasili utaniharibia weye.
sasa na wewe mbona umeanza kutoboa siri zote mapema hivyo....hahahahha lol
na ngoja malaika amwamshe tena ndo utakoma ............haha lol
Maza hausi punguza jazba jamani mi ni wako lakini huyu afrodenzi nilishamwambia ataniletea matatizo ukienda kwenye jukwa la picha kaniambia i love you nikamwambia naomba tu cheusi asione italeta tafrani humu.
Navyomfahamu cheusi afadhali niseme mwenyewe akiiona bila mi kutoa taarifa we acha tu.
hahahahahah lol yangu macho......
kweli faza hauzi ukiendelea namna hii na mie nitakuiga japo jandoni sikufundishwa kushindana na mume,
lazima niwe na jazba sbb yote ninayokufanyia sikutegemea haya,au kama kuna nisichokutimizia uniambie nikutimizie,
kwa kweli wazazi wangu watakulaumu sana ukiniua kwa mawivu na hivi mie ni kitinda mimba wao unatakiwa unidekeze sana sio kunipa puresha!
hebu kumbuka tulivyotoka mbali,tokea tukiuza viazi hadi sasa tunamiliki laputopu.
FANYA YOTE LKN USISAHAU KUWA NAKUPENDA KULIKO MLIMA KILIMANJARO.