My wife, eti wanasema umeniweka kwa chupa...

Shapu

JF-Expert Member
Jan 17, 2008
2,111
790
Safi sana kama ni kweli, kaza kabisa huo mfuniko alimradi tu pesa zote naleta home na tunakula kama familia. Nakupongeza sana maana pengine usingefanya hivyo vijisent vyote vingeishia kwa akina nanilii. Achana nao wanao kusema sema, mm siwasikilizi ng'ooo!
 
Aisee kweli hii tekelinalokujia kwa hiyo unaandika kutoka kwenye chupa!????? hureeee
 
maria rosa, as long naenjoy life wala hainipi shida....wanasema niko chupani nimekabwa kweli! Hamna ngebe kama penzi nampa yeye na ni yeye tu...
 
Je naye akupa kama unavyompa na hampunjani?
 
hahahahahahhaah lol umenikumbusha moves fulani ya Ki Nigeria niliionaga mwaka wa 1998.....lol
nikikumbuka jina ya move ntarudi hapa hahha lol
 
Safi sana kama ni kweli, kaza kabisa huo mfuniko alimradi tu pesa zote naleta home na tunakula kama familia. Nakupongeza sana maana pengine usingefanya hivyo vijisent vyote vingeishia kwa akina nanilii. Achana nao wanao kusema sema, mm siwasikilizi ng'ooo!

umeshikwa masikio wewe!!!
 
hahahahahahhaah lol umenikumbusha moves fulani ya Ki Nigeria niliionaga mwaka wa 1998.....lol
nikikumbuka jina ya move ntarudi hapa hahha lol

We baki humohumo kwenye chupa lakini badili jina we sio shapu tena,Afrodenzi vipi ile signature nzuri imeenda wapi ? hii pia nzuri lakini ile ni zaidi au umeshapata ...
 
nilikua nimeshalala kabisa roho wa bwana akaniambia niamke nirudi JF sikumwelewa,sasa ndio namuelewa!
 
hahahah lol naona unapenda sana signature zangu lol asante ilee nimeifadha kwa ajili yako baadaye hahaahhaha lol
usijali labda utaipenda ya kesho pia lol
 
Maza hausi punguza jazba jamani mi ni wako lakini huyu afrodenzi nilishamwambia ataniletea matatizo ukienda kwenye jukwa la picha kaniambia i love you nikamwambia naomba tu cheusi asione italeta tafrani humu.
 
Jamani we afrodenzi huoni maza hausi kawasili utaniharibia weye.
 
Maza hausi punguza jazba jamani mi ni wako lakini huyu afrodenzi nilishamwambia ataniletea matatizo ukienda kwenye jukwa la picha kaniambia i love you nikamwambia naomba tu cheusi asione italeta tafrani humu.

sasa na wewe mbona umeanza kutoboa siri zote mapema hivyo....hahahahha lol
 
Maza hausi punguza jazba jamani mi ni wako lakini huyu afrodenzi nilishamwambia ataniletea matatizo ukienda kwenye jukwa la picha kaniambia i love you nikamwambia naomba tu cheusi asione italeta tafrani humu.

kweli faza hauzi ukiendelea namna hii na mie nitakuiga japo jandoni sikufundishwa kushindana na mume,
lazima niwe na jazba sbb yote ninayokufanyia sikutegemea haya,au kama kuna nisichokutimizia uniambie nikutimizie,
kwa kweli wazazi wangu watakulaumu sana ukiniua kwa mawivu na hivi mie ni kitinda mimba wao unatakiwa unidekeze sana sio kunipa puresha!
hebu kumbuka tulivyotoka mbali,tokea tukiuza viazi hadi sasa tunamiliki laputopu.
FANYA YOTE LKN USISAHAU KUWA NAKUPENDA KULIKO MLIMA KILIMANJARO.
 
Navyomfahamu cheusi afadhali niseme mwenyewe akiiona bila mi kutoa taarifa we acha tu.

basi mi borea nisiigilie kabisa.......
maana na mjua dada Cheusi ni mtu makini sana na mambo yake,........
lakini I JUST WANT TO PUT SMILE ON YOUR FACE TODAY.....
hahaahahha lol
 
kweli faza hauzi ukiendelea namna hii na mie nitakuiga japo jandoni sikufundishwa kushindana na mume,
lazima niwe na jazba sbb yote ninayokufanyia sikutegemea haya,au kama kuna nisichokutimizia uniambie nikutimizie,
kwa kweli wazazi wangu watakulaumu sana ukiniua kwa mawivu na hivi mie ni kitinda mimba wao unatakiwa unidekeze sana sio kunipa puresha!
hebu kumbuka tulivyotoka mbali,tokea tukiuza viazi hadi sasa tunamiliki laputopu.
FANYA YOTE LKN USISAHAU KUWA NAKUPENDA KULIKO MLIMA KILIMANJARO.

duuuuhh kwa kweli samahani sana dada Cheusi mi hakuniambia yote hayo.....
haya vizuri kujua haya ntaanza kutoa mita kuanzia leo ...
nikimwona tu viatu mkononi...
sintosimama...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom