Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
- Thread starter
- #61
KaribuAisee nimejipatia wallpapers nzuri sana hapa ambazo na weza weka kwenye kopo langu.
Shukurani endelea kuleta mawall hayo.Karibu
Usiwe na shaka. Kesho panapo majaliwa nitashusha mzigo mwingine.Shukurani endelea kuleta mawall hayo.
Hizi ninazoweka hapa nazitoa kwenye PC na ndizo huwa nazitumia kwenye PC yanguNaomba msaada wa wall paper za pc