Ukiwa unaelekea airport. Please tell me where are you flying to??
By the way ahsante kwa kuusikiliza
Careful broI'm gonna quit my job and travel the world until I run out of money! I estimate I'll be home again around 10 PM this evening
Ohhh kumbeeee. That's nice!Nooh sio kwamba sasa hivi ndo naelekea airport hapana bali huwa nasikiliza ule wimbo wa wizi kid kipindi nna safari na nikiwa natoka nyumbani kuelekea airport na wakati wa kurudi nikiwa natoka hoteli kuelekea airport huwa nausikiliza huo wimbo. Pia nikifika salama nilikokuwa naenda (hotelini huwa nausikiliza huo wimbpo na kucheza, sasa nilipousikiliza huu wa Konde Boy ndo nikasema asante kwa kuniongezea playlist kwenye nyimbo zangu nikiwa anelekea airport.
Safari bado hazijaanza, ntakuja kuweka hapa kuelezea uzoefu wangu kwa vacation nilizoenda kipindi cha nyuma.
Habshi ni waafrika waliopo India...ni jamii ya East Africans waliofikishwa India miaka mingi iliyopita kiasi kwamba hata lugha na baadhi ya tamaduni za Kiafrika ziliwaondoka na wengine wakachanganya damu na wahindi...Hao habshi ndiyo wahabesh??
Hapana mkuu. Hata ki utani usitume picha ya mtu wa humu kwa mwingine. Sio poa sanaHahahhahahaahahah
Khantwe alikuwa ananitania tu huyo. Mtoto mbichi kabisa huyo, akisema suu nakutumia picha yake
Ruswah ni sehemu ya utamaduni wa mwafrikaUkweli mchungu
Ohhh kumbeeee. That's nice!
Uni-tag ukija kuweka huo uzi aiseeee. Sisi ndio wadau wenyewe
Mbaya sana aiseee.Nimeshtuka kuona mtu ameitwa fala huko juu
Umetembea mkuu. Heshima kwako.
Tatizo langu mimi I have only 30 days leave in a year, hapo nipange kila kitu bila kusahau kuspend sometimes in Tanga with parents.
Ila no worries ntawahi ku-retire ili niweze kuizunguka dunia
Mawazo yangu pia hapo hivi. Hope Siku nitafanikisha hii ndotoMi natamani niwe mtalii nikipata hela. Nitaanza kutalii Ngorongoro na Kilimanjaro
Kwa sababu kwenye mchakato upo wewe, naamini nitapanda tu...ngoja niandae tu viwalo vya kupandia ndege[emoji4][emoji4][emoji4]Utapanda tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko nawaza hapa kama nitakuwa vizuri kimuda na kiuchumi niende2022?? why not?? However that's a long short you know
Seriously, sema tu science ikajaga kunishinda nikaona nidrop lakini ningekaza ningekujaga kusomea aviation na hatimaye kuja kusomea astronomy japo wazee walikuwa wanapenda nije kuwa doctor ila niligoma.Duh! Wewe mkali