Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
- Thread starter
-
- #141
Indonesia tupo pamojaSehemu ambazo ningependa kufika
1-BALI
2- Machu picchu
3-Delhi
4- Egypt
5- Paris
6- Brazil
7 - Iran
8- Liverpool
9- New york na washington
10- Mwezini
Mwaka huu wakati nachagua destination nliangalia Madagascar na Seychelles lakini nkaona wako ghali kiasi flight zao.Wishlist
1. San Diego
2. Miami
3. Morocco
4. Cape Town
5. Italy
6. Switzerland
7. Barcelona
8. Madagascar
9. Chitoholi
10. Kamachumu
you are real an inspirational Relief, Hongera sana!! Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.!! Nashukuru hata Lushoto nimetoka last weekend nadhani ningejilaumu sana!! cute b what's our next destination babe??Kwani mkuu unadhani kunahitaji pesa kiasi hicho?? Hebu anza na trip ya Lushoto. Ipo moja inatangazwa sasa hivi inagharimu kama 200,000 TZS ya night 2 days 3. Inafaa sana hiyo mzee
Mkuu Zanzibar ni njema atakae na aje lakini msemo wa when in rome do as Romans doSipendi kitu kinachopendwa na wengi.. huko labda kutembea. Kwa afrika laiti Zanzibar kungekua hakuna bahari ningeweka makazi milele.. sasa bahari na jinsi wakristo walivyo wachache huko unakua mpweke fulani hv..
Nimeishi huko 9 months ustaarabu na ukarimu ulinivutia mno. Halafu natunda kama uko peponi yaani
Ni kweli shida tu ukiwa mtu wa dini tofauti nao unasumbuliwa sana kwenye jamii.. kila mtu anataka akubadili dini..Mkuu Zanzibar ni njema atakae na aje lakini msemo wa when in rome do as Romans do
Yeye ndio injinia bin baharia.. namwitaga Offshore seaman😅😅😅Dingi alipiga hesabu za mbali😀😀😀😀😀
Hata me nĺiskia mkuu na ndio maana sikwenda iranSio kweli, Fuatilia LONELY PLANET
Hela yake itakuwa ndefu kinomaKama una fedha za kutosha nenda NASA au SPACE X nasikia wana andaa tours za kwenda huko[emoji28]
Ukiwa unaelekea airport. Please tell me where are you flying to??Nimeusikiliza, ni mule mule yaani asante kuniongezea wimbo kwenye playlist yangu nikiwa naelekea airport.
Where are you mkuu???Ohw! Nadhani sijachelewa sasa, let's talk on this.
Mkuu naomba when the time is right nkutafute.
Umetembelea nchi ngapi mpaka sasa?? Zishafika 100??? Hongera mzee you have lived your life aiseeee
Laa haulaa walaa kuwwata illaa bi Llah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hivi maana yake nini maana nimeropoka tu??
Aise safi sana umeniongezea maarifa
Tanzania 🇹🇿Where are you mkuu???
Mimi safari zangu za hapa hapa ndani halafu leo nina safari naianza saa 12 jioni.you are real an inspirational Relief, Hongera sana!! Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.!! Nashukuru hata Lushoto nimetoka last weekend nadhani ningejilaumu sana!! cute b what's our next destination babe??
Nilikuambia mimi nataka namba tuu ya kufanyia muamala. Sijui ni ya nini itatumikaje hiyo nimekuachia wewe.Kichwa hiki??? Nkumbushe hebu please
Thanks much kwa kweli.you are real an inspirational Relief, Hongera sana!! Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.!! Nashukuru hata Lushoto nimetoka last weekend nadhani ningejilaumu sana!! cute b what's our next destination babe??
Umetembea mkuu. Heshima kwako.Karibu sana Mkuu
Kwa bara la Africa ni Cairo, Nairobi, DAR, Mogadishu, Addis na Kampala na Zanzibar
Nchi za Middle East ni Jeddah, Riyadh, Makka na Madina,Kuwait, Bahrain, Abu Dhabi, Muscat na Salala, Doha, Iraq miji saba na Amman pamoja na Damascus na Beirut
Aisee mpaka zingine inabidi nikumbuke [emoji23][emoji23] uzee huu shida
Europe ni chache UK yote, Frankfurt, Paris, Lille, Marseille, Lyon na Dunkirk
Belgium nimepita na gari nikielekea Charles de Gaulle Paris
Far East nilienda Burma na Vietnam pamoja na Bangkok hii ilikuwa safari yangu ndefu ya ndani ya ndege ilikuwa masaa 11
Havana nilikaa siku nne tu na India pia
Bado sehemu nyingi sana mkuu kama Rio de Janeiro na Kingston
Mungu anipe uzima
Ila safari ukitaka ule maisha tafuta [emoji568] cruises kuzunguka dunia ila sina maana dunia yote bali inategemea na mfuko wako
Mji gani I meant???Tanzania 🇹🇿