Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,608
- 59,731
Mimi ndo naangalia hapa ila tatizo hela maana mimi lazima niende na wifeCruise ni raha sana mkuu
Nimepanda P&O mara tano na sijawahi kujutia hela zangu
Ndani ni mji unaotembea kuna kila kitu kuanzia maduka mpaka gym na zingine swimming pool ndani
Ukichoka unapanda juu kuangalia dolphins [emoji227]
I dont like US aiseeeeHahah kwanini??
Barikiwa nawe pia mkuu.
Kwa mbuga za wanyama Tanzania nimefika mikumi na saadani tu, aibu hii kwa kweli ila tatizo I was disappointed nlipofika mbuga zote hizo mbili kiasi kwamba sitamani kwenda kwengine.
Tatizo langu jengine ni muda, you know vile I have only 1 month leave basi hiyo hiyo uende holiday abroad na hiyohiyo upate kwenda kwa wazazi basi muda unabana.
I have been to Norway and Singapore, hutojuta mkuu kwenda huko. All the best na usinisahau zawadi please
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah yaani mtu akiniambia hapendi bahari namuona kama anakosa vitu vizuri eti haha huwa nasahau kama binadamu tunatofautiana maana kuna mwingine kuona bahari kwake ni kero eti
US wanahofia labda wanaweza kuwa ni spies na pia wamewawekea vikwazo vya kiuchumi, meaning they want Iran to suffer economically. Kwa hiyo hiyo ni strategy kuhakikisha hata watalii hapatiSasa ni kwanini eti??
Kabisa![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah yaani mtu akiniambia hapendi bahari namuona kama anakosa vitu vizuri eti haha huwa nasahau kama binadamu tunatofautiana maana kuna mwingine kuona bahari kwake ni kero eti
Ohhhh sasa hapa sikuamini mkuuMie ambae hata daslam sipajui naona huu uzi haunihusu kabisa.
Poleeee mkuu.Yaani mate yananitoka aisee
Mkuu hongera sana. Na hili linaonyesha dhamira ya kweli ya kusafiri. Hongera mkuuMimi ndo naangalia hapa ila tatizo hela maana mimi lazima niende na wife
Naangalia deals zao hapa ziko affordable hadi 22usd kwa usiku
Hakikaaa.Watanzania tubadilike tutembee kwenye kutembea huko tutapata connection na watu wengine
Mkuu hongera sana. Na hili linaonyesha dhamira ya kweli ya kusafiri. Hongera mkuu
Duh!
Ziko poa sana aiseee