My upcoming trip to Jordan

Yeah hapo kwenye cruises napo ndipo hata matajiri wengi wanapopeta kuanzia wafanya biashara wana muziki hadi wacheza mpira maarufu duniani they spend lots of dinero on cruises, na ndiyo maana huwa wanamiliki private yachts au huwa wanakodi kwa bei kubwa tu mfano kama kina Bill Gates huwa wanakodi yachts karibu kila wiki kwa ajili ya kuenjoy na famili zao tu.
 
Sure mkuu, Mbeya ungependa kutembelea milima gani?
 

Haswaaa
Lakini mkuu kumbuka hizo cruise zingine zinabeba mpaka watu elfu 6
Na lina deck 16
Sasa na wewe unajichanganya na hao
Kama unazikusanya unaweza kupanda na ukazunguka hata kwa wiki 2
Bei sio kubwa hivyo
Ila usijichanganye na hao wazee maana wao ni tofauti kabisa [emoji23][emoji23]
 
Kinyau,
Thaaaaaaank you very much mkuu.

Unanipa nguvu zaidi na zaidi kuona kwamba it is all possible.

Barikiwa mkuu na usisahau ku-share nasi hizo experience
 
Usemayo yote ni kweli mkuu, hususan kama wewe umeanza kusafiri 70s.

Sisi tulioanza 2000s bado we have a long way to go.
 
Paula Paul,
Barikiwa nawe pia mkuu.

Kwa mbuga za wanyama Tanzania nimefika mikumi na saadani tu, aibu hii kwa kweli ila tatizo I was disappointed nlipofika mbuga zote hizo mbili kiasi kwamba sitamani kwenda kwengine.

Tatizo langu jengine ni muda, you know vile I have only 1 month leave basi hiyo hiyo uende holiday abroad na hiyohiyo upate kwenda kwa wazazi basi muda unabana.

I have been to Norway and Singapore, hutojuta mkuu kwenda huko. All the best na usinisahau zawadi please
 
Tunatalii mkuu, labda kwa wasiojielewa.

Last year I was in Cambodia, one of a difficult tour to do there ni Angkor wat na niliifanya. I did Khmer rouge, nlienda national museum na mote humo ni pesa tu mzee.

Sikaagi ndani mkuu
 
Naangalia Cruises
Sana sana MSC Divina
Naona wanatoza kuanzia Dollar 59 kwa usiku kutokea Genoa kwenda Marselle
Nenda rudi inakuwa 59 mara 2

Kuna Genoa Barcelona


Zipo za Bahamas
zipo ambazo Unaanzia Miami unaenda Jamaica Unarudi Miami 3 nights

Naona Cruises ni fun maana mnakuwa watu wengi sana
 
Mfano wa Cruises itenary

Inaanzia Dubai mwisho Singapole.
Ukifika Singapole inabidi upande Ndege kurudi Tanzania. Trip nzima andaa 5mil siku 21

Hapo nauli kutoka Tz hadi Dubai na nauli kutoka Singapole hadi Tz.

Safari ya meli hizo siku 17 majini ni dollar 600 kwa safari ya November 30 hadi December 15


Majini siku 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…